The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo
Vitoto vya 2000 utaviweza? [emoji23][emoji23][emoji23] Yaani vishabiki vya Mwacity vinafurahisha kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pep mwenyewe kakubali Show na anatakiwa awape mbinu mpya vijana.
 
Tukutane etihad, pale kila goti litapigwa.
Jidanganye mzee wa Expectation mfu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sema mtapambana sio mjipe matokeo kama jana. Mlifikiri mtamfunga goli nyingi sio? [emoji23]
 
Madrid kapotea kama angekuwa mwamba angeshinda pale kwake but kashindwa
 
Jidanganye mzee wa Expectation mfu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sema mtapambana sio mjipe matokeo kama jana. Mlifikiri mtamfunga goli nyingi sio? [emoji23]
Hakuna shabiki wa city aliyetegemea city ikashinde 4+, kama alikuwepo either hajui mpira ama ni tambo tu za kiushabiki kunogesha mambo.

Hata game ya etihad ambayo tuna matumaini nayo haiwezi kuisha kwa goli 7 au 6. Sana sana ni 1-0, 2-1, 2-2 au 0-0.

Cha muhimu ni kwamba istanbul lazima twende.
 
Inter milan wana mpira flani wa kimafia sana.

Hawa tunaenda kukutana nao fainali.
 
Inter milan wana mpira flani wa kimafia sana.

Hawa tunaenda kukutana nao fainali.
Kabla tumuwaze Inter inabidi tujipange kwanza tunawaepuka vipi wale mazimwi wa Ancelotti, hao ndio wanaweza kututia doa huyo Inter/Milan wala sio tatizo.
 
Kabla tumuwaze Inter inabidi tujipange kwanza tunawaepuka vipi wale mazimwi wa Ancelotti, hao ndio wanaweza kututia doa huyo Inter/Milan wala sio tatizo.
Wewe ndio umenena sio huyo mwenzako, eti tunaenda kukutana nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kabla tumuwaze Inter inabidi tujipange kwanza tunawaepuka vipi wale mazimwi wa Ancelotti, hao ndio wanaweza kututia doa huyo Inter/Milan wala sio tatizo.
Madrid akienda fainali ntaamini kweli na ulaya kuna uchawi.
 
Tunakumbushana tu, City are just 6 games away from TREBLE, 3 games away from THREE PEAT.
 
Kuna uwezekano mkubwa tukamchukua kovacic summer, chelsea wanataka kumuuza.
 
Walker alijitahidi, lakini bado mashambulizi hatari yalikuwa yanatokea hukohuko, hata goli lao movement ilianzia huko.

Madrid kuwazuia upande wao wa kushoto imekua kazi ngumu kwa timu nyingi sana.
Wanacheza functional play, too dynamic kuwazuia ni ngumu.
 
Kelvin de bryune's stunner against real madrid has been nominated for the UCL goal of the week.
 
Kevin de bruyne himself has been nominated for UCL player of the week award.
 
NEXEN TIRE today has announced that the agreement has been reached with Manchester City football club to extend their hugely profiting patnership.

(Global news wire)
 
Back
Top Bottom