Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
Vitoto vya 2000 utaviweza? [emoji23][emoji23][emoji23] Yaani vishabiki vya Mwacity vinafurahisha kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pep mwenyewe kakubali Show na anatakiwa awape mbinu mpya vijana.Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo