Vitoto vya 2000 utaviweza? [emoji23][emoji23][emoji23] Yaani vishabiki vya Mwacity vinafurahisha kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pep mwenyewe kakubali Show na anatakiwa awape mbinu mpya vijana.Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo
Jidanganye mzee wa Expectation mfu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sema mtapambana sio mjipe matokeo kama jana. Mlifikiri mtamfunga goli nyingi sio? [emoji23]Tukutane etihad, pale kila goti litapigwa.
We jamaaa unàvituko sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hamjawahi kuchukua UCL kama hamfungiki Itihad?
Huwezi mtoa Madrid haijalishi mnachezea wapi
Hakuna shabiki wa city aliyetegemea city ikashinde 4+, kama alikuwepo either hajui mpira ama ni tambo tu za kiushabiki kunogesha mambo.Jidanganye mzee wa Expectation mfu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sema mtapambana sio mjipe matokeo kama jana. Mlifikiri mtamfunga goli nyingi sio? [emoji23]
Kabla tumuwaze Inter inabidi tujipange kwanza tunawaepuka vipi wale mazimwi wa Ancelotti, hao ndio wanaweza kututia doa huyo Inter/Milan wala sio tatizo.Inter milan wana mpira flani wa kimafia sana.
Hawa tunaenda kukutana nao fainali.
Wewe ndio umenena sio huyo mwenzako, eti tunaenda kukutana nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla tumuwaze Inter inabidi tujipange kwanza tunawaepuka vipi wale mazimwi wa Ancelotti, hao ndio wanaweza kututia doa huyo Inter/Milan wala sio tatizo.
Hiyo rekodi yako Madrid aliiweka msimu uliopita pengine msimu hana chake kabisa.Madrid anaenda kuweka record ya kuwanyoosha vigogo wa Epl ndan ya msimu mmoja--- Alianza Liverpool akaja Chelsea na sasa wananchi.
Madrid akienda fainali ntaamini kweli na ulaya kuna uchawi.Kabla tumuwaze Inter inabidi tujipange kwanza tunawaepuka vipi wale mazimwi wa Ancelotti, hao ndio wanaweza kututia doa huyo Inter/Milan wala sio tatizo.
Fainali ni City vs Inter,Wewe ndio umenena sio huyo mwenzako, eti tunaenda kukutana nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapiga goli za chapchap kalinda mpaka mwisho.Inter millan kiulaini kabisa ,yuleee final ...
Wanacheza functional play, too dynamic kuwazuia ni ngumu.Walker alijitahidi, lakini bado mashambulizi hatari yalikuwa yanatokea hukohuko, hata goli lao movement ilianzia huko.
Madrid kuwazuia upande wao wa kushoto imekua kazi ngumu kwa timu nyingi sana.