The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona tumeshamkosa Bellingham, inatakiwa sasa tukomae tumpate mac allister, kovacic umri sio rafiki.
 
Naona tumeshamkosa Bellingham, inatakiwa sasa tukomae tumpate mac allister, kovacic umri sio rafiki.
Kama tunatafuta replacement ya gundo inabidi tuingie mazima kwa Mac Allister, hata kova sio mbaya anaweza kutusaidia kwa short term wakati tunatafuta long term replacement.
 
Kama tunatafuta replacement ya gundo inabidi tuingie mazima kwa Mac Allister, hata kova sio mbaya anaweza kutusaidia kwa short term wakati tunatafuta long term replacement.
Kuna yule Romeo lavia tulimuuza soton, kulikua na buy back clause na kukawa na taarifa tunataka kui activate sa sijui imekuwaje.
 
Huko TikTok kuna mwamba anajiita @lavezzi1893 alitabiri fainali ni Inter na City na mshindi atakuwa Inter.

Utabiri aliuanzia kwenye robo fainali, alikuwa na mayai ambayo kila moja lilikuwa na icon ya timu mojawapo kati ya zile 8, akawa anayagonganisha kuendana na droo ilivyokuwa, yai ambalo litapasuka maana yake hiyo timu itatolewa.
Yai la city vs bayern, yai la madrid vs chelsea n.k

Mayai ya Bayern, Chelsea, Napoli, na Benfica yalipasuka, kwenye semi final mayai ya Madrid na Ac milan yakapasuka, kwenye final yai la City likapasuka.
 
Final kama vile pep anakuwaga na maswali kibao ,wakati wengine wanaweka simple squad tu na kuwin ...

Mfano ile final ya CL na Chelsea Kuna muda naona kama vile tuliwachukulia poa Chelsea tukajikuta tuna overconfidence ,kuanzia media mpaka kila mtu alimpa nafasi city ,this is the problem ,coz opponent wanakuwa wanajenga strong sprity internally to fight for their live ,that why Chelsea walitu outsmart simple kabisa ....

Hata hii tunaweza kufanya ujinga huo huo ,maana kuanzia media ,mpaka majority of people watamuunderate intermillan psychologically wachezaji wa intermillan wataingia na sprity ya juu hatariii ,fight like it's their last ,wakati wachezaji wetu watakuwa very simple na confidence wakijua Hawa tunawamudu ,and is where underdog play like champion .....


Ndio maana Madrid huwa anawin final nyingi sababu ,hanaga complication ,huwa Wana calm down and to play football,ukiwa so excited na final always lazima utalose ,utacheza kutaka kuua game mapema wakati unajiweka matatizoni .....

Always kwenye final ,come down play football, tactics ndio zitaamua ....usiwe na haraka ya kuua game mapema, ndio Madrid huwa anaenda Hadi extra time na kuwin ,cause he play football ushindi utakuja ,wakati nyie mnaingia uwanjan na mentality ya kuua game dakika 90 ...badae mnaanza kupanic dakika 90zikiisha ,wakati wengine wanaendelea kucheza football as usual,at the end of the day waliopanic wanapigwa kirahisi mnoo .....


Pep hili anatakiwa kulijua ...
 
Ngoja tuone yaliyomo, maana kuna mwingine alitabiri Man united atabeba Epl [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ramli sasa.
 
Yahn unapiga hesabu za fainali wakati bingwa mtetezi ujamtoa bado hahaahahahah.
 
Asikwambie mtu. Ni balaaah
 
Kuna uwezekano fainali ya UEFA ikahamishwa kutoka uturuki kwenda ureno sababu ya hofu ya machafuko ya kisiasa pale uturuki.
 
Man city are on the pursuit of signing arsenal youngster Ethan Nwaneri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…