Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Mkuu hujanielewa, sijasema tukashambulie kwa kupanick, nmesema tukacheze direct & aggressive play.Hii ni knock out stage mzee ,goli Moja linakutoa kwenye mashindano ....
Ndio maana tukiwa hatuna mpira kdb na haaland ndio wanabaki mbele tu kwa ajiri ya counter attack ...
Tumekuwa tukitolewa Kwa kupanic kutaka kushambulia na kufunga huku tukisahau kudefence vzuri ....
This time hakuna papala ,ni kucheza football ,tukianza kuingia na mentality za kumaliza game mapema basi tutapigwa nyingi tu ....hii ni one mistake you are out so ni Bora kucheza mpira mbinu zitaamua ikiwezekana mpaka 120 + penalty kuliko kuruhusu magoli ya kijinga kutaka kushambulia haraka ili kumaliza game ....
Direct play inahusisha penetration passes, long balls n,k.
Faida ni kwamba inakusaidia kuexploit space kwa haraka zaidi muda wowote inapopatikana na ndicho kitu tulichokuwa tunashindwa kufanya kwenye first leg.