The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

As I've said, hawa wakianza kwa pamoja hatujapoteza mchezo msimu huu.

grealish,gundogan,rodri,kdb,bernado
 
Nimeshavuta na popcorn zangu hapa sina wasiwasi, najua final tunaenda, nasubiri tu kujua tunaenda kwa ushindi wa goli ngapi.
 
Watu wanlaumu pep kwann hajaanza na Mahrez over bernado....

Dakika 30 za mwanzo zitaamua ...

Cha mhimu Leo pep asiogope kufanya sub kama mambo yasipokuwa vzuri ....
 
1684347193890.jpg
 
Back
Top Bottom