The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu hujanielewa, sijasema tukashambulie kwa kupanick, nmesema tukacheze direct & aggressive play.
Direct play inahusisha penetration passes, long balls n,k.
Faida ni kwamba inakusaidia kuexploit space kwa haraka zaidi muda wowote inapopatikana na ndicho kitu tulichokuwa tunashindwa kufanya kwenye first leg.
 
Kuna ka clip eti grealish anadaka mishuti ya haaland na kdb kwenye training, vituko vya watu sasa eti wanasema kipara hachelewi kuoverthink unaweza kuta leo anapanga kuanza na grealish kama kipa, [emoji23][emoji23]
[emoji1787] mzee baba anasimama golini alaf ederson anapiga winga teleza [emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hujanielewa, sijasema tukashambulie kwa kupanick, nmesema tukacheze direct & aggressive play.
Direct play inahusisha penetration passes, long balls n,k.
Faida ni kwamba inakusaidia kuexploit space kwa haraka zaidi
Hii sanasana inafaa kwa timu zinazokabia juu.

Wakati tunafanya build up stones huwa anaingia kwenye mid kufanya double pivot then ederson ana link na dias (anakuwa virtual CB).
Hii maana yake inatupa numerical advantage timu inapokua imekuja kutukabia juu (4-2), hapo ndio zinafata long balls tukishatoka under pressure.
Madrid wao wala hawakabii sana juu, bus lao wanaliweka kati, hapo wanakuwa tight hata kucheza hizo through balls na long balls inakuwa ngumu ndio sababu pep anataka timu icheze, imiliki mpira na kutawala mchezo huku inatafuta loop holes za kupita. Waumini wa soka la Johan Cruyff wanakwambia The more you circulate the ball, the more you disturb the opposition's defence.
 
Grealish...Gundogan..Rodri..KDB...Bernado

Mechi yoyote ambayo pep kaanza hivi hatujapoteza.

Leo msitegemee mabadiliko yoyote.
 
Just a reminder.

Man city are unbeaten at Etihad in Uefa Champions League in five years.
 
Just a reminder.

Man city are unbeaten at Etihad in Uefa Champions League in five years.
[emoji23][emoji23]msimu ulopita rodrigo alipafanya apo etihad kukawa kama bernabeu sasa we njoo na statistics zako za kucheza na everton apa
 
[emoji23][emoji23]msimu ulopita rodrigo alipafanya apo etihad kukawa kama bernabeu sasa we njoo na statistics zako za kucheza na everton apa
Hujui mpira fala wewe kauze karanga. Etihad Real Madrid alikufa 4-3. Unadhani ni kazi rahisi kwenda kupindua matokeo kwenye kiwanja cha ugenini hasa champions league.
 
Hujui mpira fala wewe kauze karanga. Etihad Real Madrid alikufa 4-3. Unadhani ni kazi rahisi kwenda kupindua matokeo kwenye kiwanja cha ugenini hasa champions league.
alafu mkafka wap nyie wajuaji mpira mazumbukuku
 
Hala Madrid....
15th trophy loading...[emoji836]
 
ilaaa watu daaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba Leo tunafungwa ...
 
[emoji23][emoji23]msimu ulopita rodrigo alipafanya apo etihad kukawa kama bernabeu sasa we njoo na statistics zako za kucheza na everton apa
Brother, rodrygo katufunga bernabeu.
Ndani ya hii miaka mitano tumecheza mechi za ucl 25 pale etihad,tumeshinda 23 draw 2, sasa kama huyo everton nae huwa anacheza uefa basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…