The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ancelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
 
Pep yuko serous sana na kazi yake....yaani anastim balaa, ebu fikiria leo Pep akaachana na City, atagombaniwa kama mpira wa Kona kwa msemo wa A. Lyatonga Mrema. (RIP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…