Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Atajiongeza ausioKwa vibe nililonalo Sina usingizi wacha niagize gambe mpaka asubuhi, ...
Kesho hakuna kwenda kazin ,boss nishamtumia hii picha ya bernado silva ....View attachment 2625859
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh ugenini ndo huwa wanaupiga mwingi jamani jamani wasemaji wa hizi team washakuwa wengi siku hizi dah!Madrid baana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa sijui kwanini anataka kuondoka tu.man of the match ..View attachment 2625860