The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

This time pep hataki mchezo ,inter millan asipojiangalia atakula goli 5 final [emoji23][emoji23][emoji23]
 
.
mancity-20230518-0004.jpg
 
Kwa vibe nililonalo Sina usingizi wacha niagize gambe mpaka asubuhi, ...

Kesho hakuna kwenda kazin ,boss nishamtumia hii picha ya bernado silva ....
FB_IMG_16843567782373492.jpg
 
Kuna watu wanasubiri hizi game 3 zitushinde, kuna watu wana roho ngumu nyie
 
Saint Anne inamaana hujui kabisa kilichotokea au unavunga tu?, njoo utupongeze wanaume huku kwa kuiheshimisha ligi ya uingereza, nyie c mlikula 5
 
Back
Top Bottom