Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
The problems is, watu wanaishi kwa mazoea, wamekariri kwa madrid huwa anamtoa city semi final, ukiwaambia facts za kimpira unaonekana hujui mpira kisa tu, ni shabiki wa city.Ni kichaa tu ndiye aliyeamini madrid atapita kwa city.
Msimu uliopita ni defence pekee ndio ilituangusha plus some unlucky moments.
Etihad tulimpiga goli 4, wao wakarudisha goli tatu, wing backs fernandinho na zinchenko.
Bernabeu tukawapiga tena but bahati haikua kwetu.
This time tuko na solid defence while madrid hawajabadilika kitu, mtu bado anasubiria madrid afanye miujiza ya msimu uliopita, funny.
Jana naona Vini, Benzema na Rodrygo wamewekwa mfukoniKwamba na leo wanafufuka injury time? emu kueni serious.
Kwa kweli am so happy wale mbwa walikuwa wanatunyanyasa 😂Saint Anne inamaana hujui kabisa kilichotokea au unavunga tu?, njoo utupongeze wanaume huku kwa kuiheshimisha ligi ya uingereza, nyie c mlikula 5
Watu weuweeeeeeeeeeeeeeeeNgoja tukomae na real Madrid, hao mbwa tukishawapiga tu baaaas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waelezeeeeeeeeeeeNi kichaa tu ndiye aliyeamini madrid atapita kwa city.
Msimu uliopita ni defence pekee ndio ilituangusha plus some unlucky moments.
Etihad tulimpiga goli 4, wao wakarudisha goli tatu, wing backs fernandinho na zinchenko.
Bernabeu tukawapiga tena but bahati haikua kwetu.
This time tuko na solid defence while madrid hawajabadilika kitu, mtu bado anasubiria madrid afanye miujiza ya msimu uliopita, funny.
Inter hawa tuwabondee km hatuwajui vileeeeWakuu, tuanze maandalizi sasa ya kuupokea ubingwa wetu wa kwanza siku ya jumapili.
Three finals.
Man city vs chelsea
Man city vs Man utd
Man city vs Inter (the bigger one)
Ulikuwaga unaogopa sana Madrid nilikuambiaga Madrid mdogo mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waelezeeeeeeeeeee
Hatunywi sumu hatujinyongiCitizens!!!!!!!!!!
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Huu mwakaa wetuu.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Na haturungiiii wala nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu watujuzeeeee.Hivi jana vinicius na benzema walikuwepo uwanjani?
Walker na dias wana roho mbaya sanaa.
Kwa kweli tumewabondaa km hatuwajuiiiiiUlikuwaga unaogopa sana Madrid nilikuambiaga Madrid mdogo mno