Mbeleee kwa mbeleee hadi kumchukua mwaliiii.Hatunywi sumu hatujinyongi
Tesekaaaaa taratibuuuuu kijanaa, kwan lazimaa upige keleleeee??Inter Milan Bingwa Tukutane 10 JUNE Istanbul, Lukaku akiwaga Belgium ni mzembe ila Akiwa Inter ni Messi mtupu.
Ngoja nikanunue Jezi ya Inter kabsa tayar kwa kushangilia Ubingwa wao,
Hawa Man City(Nyumbu pro) ni Timu bora EPL tu ila UEFA watasubiri sana na Hilo litadhihirishwa Na aliyewah kuwa Bingwa wa wakt Huo, na sasa amelud tena Kwny Ufalme wake Mnyama Inter Milan AKA Milano
Man city Hiyo siku kitu pekee mnachoweza kufunga hiyo siku ni Kufunga Chupa za Maji tu Tukutane 10 JUNE, Wanangu Inter Dunia ipo Nyuma yenu Tunataka Mshinde hizi Nyumbu za Man city zina kelele sana Kam wenzao wa Man utd,
Alf mm Nashangaa hivi Man city imepata Lini Mashabiki Bongo, nyie wote ni watu mliokimbia klabu zenu za Man utd,chelsea,Arsenal na Liverpool hebu mlud Kwny Timu zenu huko.
INTER MILAN BINGWA 2023 Historia inaandikwa Tena,
Mapasi Kumi(Man City) hawatoamini Macho Yao.
Valvede, camavinga,vinicius, rodrigyo jana alieonekana ni kipa tuHivi jana vinicius na benzema walikuwepo uwanjani?
Walker na dias wana roho mbaya sanaa.
kabla Ya Man city ulkuwa Shabiki wa Timu gani. Maan nyie wote Naiman Mmeivamia tu Man city lakin Mna timu zenu Halisi em Ludini. Tukutane 10 JUNE Bingwa Inter MilanTesekaaaaa taratibuuuuu kijanaa, kwan lazimaa upige keleleeee??
Citizen huu mwaka tuna jambo letu kwa UEFA.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna ubaya kwenye kuvamia?kabla Ya Man city ulkuwa Shabiki wa Timu gani. Maan nyie wote Naiman Mmeivamia tu Man city lakin Mna timu zenu Halisi em Ludini. Tukutane 10 JUNE Bingwa Inter Milan
Walioshabikia chelsea, arsenal hawakuvamia ila walioshabikia city tu ndio walivamia?kabla Ya Man city ulkuwa Shabiki wa Timu gani. Maan nyie wote Naiman Mmeivamia tu Man city lakin Mna timu zenu Halisi em Ludini. Tukutane 10 JUNE Bingwa Inter Milan
This time no lucky the best will win CL ..Inter Milan Bingwa Tukutane 10 JUNE Istanbul, Lukaku akiwaga Belgium ni mzembe ila Akiwa Inter ni Messi mtupu.
Ngoja nikanunue Jezi ya Inter kabsa tayar kwa kushangilia Ubingwa wao,
Hawa Man City(Nyumbu pro) ni Timu bora EPL tu ila UEFA watasubiri sana na Hilo litadhihirishwa Na aliyewah kuwa Bingwa wa wakt Huo, na sasa amelud tena Kwny Ufalme wake Mnyama Inter Milan AKA Milano
Man city Hiyo siku kitu pekee mnachoweza kufunga hiyo siku ni Kufunga Chupa za Maji tu Tukutane 10 JUNE, Wanangu Inter Dunia ipo Nyuma yenu Tunataka Mshinde hizi Nyumbu za Man city zina kelele sana Kam wenzao wa Man utd,
Alf mm Nashangaa hivi Man city imepata Lini Mashabiki Bongo, nyie wote ni watu mliokimbia klabu zenu za Man utd,chelsea,Arsenal na Liverpool hebu mlud Kwny Timu zenu huko.
INTER MILAN BINGWA 2023 Historia inaandikwa Tena,
Mapasi Kumi(Man City) hawatoamini Macho Yao.
Tesekaaaaa taratibuuuuu kijanaa, kwan lazimaa upige keleleeee??
Citizen huu mwaka tuna jambo letu kwa UEFA.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ndiwooooooooo!!!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hatujaishia hapo, karibu jumapili ushuhudie tunavyopewa kombe.Kwa kweli am so happy wale mbwa walikuwa wanatunyanyasa
Kuna watu wanasubiri suprise kama ile 2021 ya chelsea, let them keep on hoping.Inter hawa tuwabondee km hatuwajui vileeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No more suprises.Jana naona Vini, Benzema na Rodrygo wamewekwa mfukoni
Kama magoli yote ya wazi yangeingia matokeo yangekuwa 8-1
Hongereni kwa ushindi ila msibweteke
Kumbuka sisi Chelsea 2021 mlijua wazi mtatufunga lakini ikawa tofauti
Intermilan wanaweza wakawafanyia walichowafanyia Barcelona na Bayern 2010
Inter tutawafunga, mwaka huu na sisi tuonje ladha ya hili kombe.Jana naona Vini, Benzema na Rodrygo wamewekwa mfukoni