The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna uwezekano pep akaondoka kama tukishinda treble .
 
Ila tunaitaji winga apo city winga yenye machachari ya kuchachafya beki ....mfano kama akina mitoma
 
Ndio mrithi wake awe yule kocha wa Brighton sio ???
De zerbi hawezi Toka Brighton ,na sidhani kama ni mbadala wa pep ,....

Kusema kweli team ikishashinda kila kitu kama vile Kuna hali flani ya molari kupungua maana kila mchezaji anakuwa na medal ya kitu anachotaka ,pep anakuwa hana maneno ya ziada tena kuwashawishi wachezaji Kama mwanzo ......

Ndio maana nikasema wakitaka kuona city inazidi kutawala epl tukose UEFA mwaka huu ," hizi kauli za pep hawezi win CL bila mess " ndio zinamfanya pep awe wa moto huko dressing room kuhimiza wachezaji kupambana ,...
 
Ndio mrithi wake awe yule kocha wa Brighton sio ???
De zerbi na pep wana ka ufanano kwenye tactical approach zao (pep kamuiga de zerbi kwenye baadhi ya tactics) anaweza kuwa moja ya options.
 
Domination ya timu wala haitegemei timu ime archive nini, ferguson aliipa man u UEFA, EPL na FA mwaka 1999 but wewe mwenyewe unajua waliendelea kubeba makombe kwa kipindi gani.
 
Safi sana, hiki ndio kikosi cha kuanza sasa.

City starting XI

Ortega
Lewis
Akanji
Walker
Laporte
Philips
Gomez
Mahrez
Palmer
Foden
Alvarez
 
Safi sana, hiki ndio kikosi cha kuanza sasa.

City starting XI

Ortega
Lewis
Akanji
Walker
Laporte
Philips
Gomez
Mahrez
Palmer
Foden
Alvarez
Arsenal katurahisishia kazi ni muda wa kuona kitu gani Kev Phillipe na Gomez watadeliver
 
______Alvarez


Foden___Palmer___Mahrez


____Gomez____Philips



Akanji__Laporte__Walker__Lewis


______Ortega


4-2-3-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…