Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mrithi wake awe yule kocha wa Brighton sio ???Kuna uwezekano pep akaondoka kama tukishinda treble .
Pep akichukua CL hakuna kitu tutakuwa tunamdai ....Kuna uwezekano pep akaondoka kama tukishinda treble .
De zerbi hawezi Toka Brighton ,na sidhani kama ni mbadala wa pep ,....Ndio mrithi wake awe yule kocha wa Brighton sio ???
Saizi hakuna goli la offside mtakalo pewa ,tutawakaanga ...Sisi kama nyumbu man u hamta chukua FA mbele yetu
De zerbi na pep wana ka ufanano kwenye tactical approach zao (pep kamuiga de zerbi kwenye baadhi ya tactics) anaweza kuwa moja ya options.Ndio mrithi wake awe yule kocha wa Brighton sio ???
Domination ya timu wala haitegemei timu ime archive nini, ferguson aliipa man u UEFA, EPL na FA mwaka 1999 but wewe mwenyewe unajua waliendelea kubeba makombe kwa kipindi gani.De zerbi hawezi Toka Brighton ,na sidhani kama ni mbadala wa pep ,....
Kusema kweli team ikishashinda kila kitu kama vile Kuna hali flani ya molari kupungua maana kila mchezaji anakuwa na medal ya kitu anachotaka ,pep anakuwa hana maneno ya ziada tena kuwashawishi wachezaji Kama mwanzo ......
Ndio maana nikasema wakitaka kuona city inazidi kutawala epl tukose UEFA mwaka huu ," hizi kauli za pep hawezi win CL bila mess " ndio zinamfanya pep awe wa moto huko dressing room kuhimiza wachezaji kupambana ,...
Mbona mlikua mnauhadaa umma kiasi kile? fans wa arsenal inabidi muwekwe rumande aisee [emoji3]Naona watoto mliozaliwa miaka ya 2000+ mnajitapa na katimu kenu
Anyways, Congratulations Manchester City
Kuna unaya kwani?Naona watoto mliozaliwa miaka ya 2000+ mnajitapa na katimu kenu [emoji23]
Anyways, Congratulations Manchester City
Arsenal katurahisishia kazi ni muda wa kuona kitu gani Kev Phillipe na Gomez watadeliverSafi sana, hiki ndio kikosi cha kuanza sasa.
City starting XI
Ortega
Lewis
Akanji
Walker
Laporte
Philips
Gomez
Mahrez
Palmer
Foden
Alvarez
Kipigo lazima wakipate Chelsea tia maji tia majiNmeona kikosi lakini 😂 na bado atafungwa mtu
Yap hakikaArsenal katurahisishia kazi ni muda wa kuona kitu gani Kev Phillipe na Gomez watadeliver