The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa inter wanapiga mpira kazi. Kazi ipo leo. Sema ushindi upo
Wakabe hivyo hivyo la sivyo wakilegeza watafungwa. Pep kibindi cha pili amuingize Mahrez na Walker. Huyu Ake asingeanza.

Angalau Mahrez acheze mechi yake ya mwisho City kabla ya kwenda Saudi Arabia
 
Wakabe hivyo hivyo la sivyo wakilegeza watafungwa. Pep kibindi cha pili amuingize Mahrez na Walker. Huyu Ake asingeanza.

Angalau Mahrez acheze mechi yake ya mwisho City kabla ya kwenda Saudi Arabia
Na aatapigwa kwa ujuaji mwingi we umuweke walker nje mtu mwenye nguvu na Kasi yakushambulia nakurudi kukaba kwenye nafasi yake kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…