Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Huyu ni shabiki wa Chelsea ,amesajiri kina madueke [emoji23]Kwa hela za mafuta na kocha Pep Guardiaola hata Yanga inachukua UEFA.
kwani hiyo parade inafanyikia bongo brother?Man city mashabiki wa kufunga barabara watatoa wapi? ebu tuweni serious basi, kuna vitu oil money can't buy[emoji1787][emoji1787]
[emoji23].uko sumbawanga huko ndani ndani ,unahisi dunia nzima umeimaliza [emoji23]View attachment 2654005
Hongereni banaUnacheka nini saint
[emoji1787][emoji1787] kwaiyo sio uefa tena? mnaanza kuhamisha magoli.kuna vitu oil money can't buy[emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni kawaida City ni plastic club, hata uingereza uwanja huwa haujai.kwani hiyo parade inafanyikia bongo brother?
Hiyo sijaandika kwa hulka za kishabiki, ni taarifa official kabisa na list ya barabara zitakazofungwa imeshawekwa wazi, unapochukulia fanbase ya humu jf unafikiri na UK ni hivyohivyo?
Site; Manchester evening news.
Waulize PSGKwa hela za mafuta na kocha Pep Guardiaola hata Yanga inachukua UEFA.
Wewe umeshinda ngapi?Nyie kenge waarabu wa bandari mna akili kweli fainal unashinda goli 1
Tunajaribu tu kukumbushana brother kuwa mwarabu ameweza kununua mataji lakini kwenye sekta ya mashabiki ameshindwa, uzuri kuna takwimu zinaonesha kuwa timu haiwezi kujaza uwanja , Westham & Hertha berlin wapo juu kwenye idara ya mafans. Something oil money cant buy.[emoji1787][emoji1787] kwaiyo sio uefa tena? mnaanza kuhamisha magoli.
Wakimpata Guardiola watachukua.Waulize PSG
Ndio tushaingia hivyo, dharau za kutulinganisha na aston villa hatuzitaki tena.Hongereni bana
Karibuni kwenye ulimwengu wa timu kubwa.
Ndio tushaingia hivyo, dharau za kutulinganisha na aston villa hatuzitaki tena.
Tunajaribu tu kukumbushana brother kuwa mwarabu ameweza kununua mataji lakini kwenye sekta ya mashabiki ameshindwa, uzuri kuna takwimu zinaonesha kuwa timu haiwezi kujaza uwanja , Westham & Hertha berlin wapo juu kwenye idara ya mafans. Something oil money cant buy.View attachment 2654039