Mkuu,
Unamaanisha kwamba wachezaji wa city washakua programmed kupambania UCL pekee baada ya hapo hawana cha kupambania tena? Hebu tuache utani bro
Points zako zimebase hapa-
1. Umri (Kdb,Gundo,Walker,Mahrez)
2.kutaka challenge mpya (Bernado,Mahrez,Laporte)
Na ndipo hapo umuhimu wa usajili unapokuja, sabab kama ni makombe, Kovacic tunayetaka kumleta ashashinda UCL, club WC, super cup n.k,
Kimmich tunamtaka, ashashinda kila kombe ngazi ya club.
Perfomance ya mchezaji inakuwa affected na umri pamoja na mahusiano yake na club, kubeba makombe tunadanganyana bro.
Unajua maana ya new challenge...
Kovacic Yuko na CL ,Club world cup ,super cup ,lakin yote hayo kashibda na Chelsea ,unajua kwanini anataka kuondoka ? , sometimes wachezaji wanahitaji new environment kuwa better zaidii ...
Sio kwamba kina gundo , bernado,viwango vinashuka hapana ni psychologically issue mzee ya kupambana ndio inabadilika ...
Ndio maana nikasema , tegemea wachezaji wetu kibao psychology ya kupambana ikipungua ,tunahitaji new challenge watakao kuwa wanapush team ...
Na kuhusu CL Hilo liko wazi kuanzia gym , hospital,chooni , canteen bango ilikuwa "to win CL " kila mtu lilikuwa linamtawala kichwani kuanzia pep mpaka walinzi wa pale njie kama hujui ...
Kuna watu wamefika ukomo psychologically kuipambania hii team and we need new key players ,pep anatakiwa kucheza na psychology ya wachezaji mapema ....
Liverpool ilikuwa pale sio Kwa bahati mbaya ,klopp alikosa maneno mapya ya kuwambia kina TAA ,Salah ,firmino ,fabihno ,milner ,ndio maana unaona pale ,kama angemaliza nao mapema ,bench likawa linawahusu means wangekuwa wanarudi wanajua kabisa no zao zinachukuliwa ...
Chukulia tuendelee kumtegemea kdb kama main player wetu ambaye atatuokoa kwenye game , mzeee hata body language huioni kabisa kama kdb anahitaji new player wa kumchallenge ...
Narudia team new signings zinahitajika haraka mnooo kabla hatujaanza msimu vibaya mnooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]