Nyie matakataka nawachukia kinoma. Na musimu ujao nawabandua nje ndani...
Mwaka wa pili Sasa hawajawahi hata kufunga goli dhidi yetu ,[emoji23][emoji23]achilia mbali kushinda au kupata hata draw ...Nyie matakataka nawachukia kinoma. Na musimu ujao nawabandua nje ndani...
Hata msimu ujao timu nayoona ngumu kwetu ni Liverpool tu ....Vincent Kompany: “Jurgen Klopp’s Liverpool was for sure the best team we faced under Pep [Guardiola]. The biggest thing was that they were relentless, and it made them nearly as great as our Man City team at the time, but we just edged it.”
Arsenal usiwa underrate namna hiyo.Hata msimu ujao timu nayoona ngumu kwetu ni Liverpool tu ....
Arsenal ni biscuits tu lain ,tunamtafuna nje ndani ...
Liverpool Bado ataendelea kuleta upinzani pale juu ,timu ambayo huwa nikiwa anaangalia mpira nasubili dakika 90 ziamue ,,,klopp sio poa akikutana na pep anakazaaa hatari hasa pale anfield...
Arsenal anaweza kumchallenge epl msimu unaokuja kutokana na sajili alizoleta ,Kai ,rice ...n.kArsenal usiwa underrate namna hiyo.
Kwa vile vichezaji vishoga mlivyojaza?Nyie matakataka nawachukia kinoma. Na musimu ujao nawabandua nje ndani...
Ndo mpira ulivyo chuki ni sehemu ya hali wanayokuwa nayo mashabiki especially timu yako pendwa ikiwa inafungwafungwa kama ilivyokuwa chelsea msimu uliopitaNyie matakataka nawachukia kinoma. Na musimu ujao nawabandua nje ndani...
Halafu ongeza na game ya spurs akiwa kwake. Hawa jamaa huwa ni waajabuArsenal anaweza kumchallenge epl msimu unaokuja kutokana na sajili alizoleta ,Kai ,rice ...n.k
Anaweza hata kuchukua epl sawa ,lakin swala la kusema man city vs arsenal ni game ya pressure Kwa city huo ni uongoo ...
Game ambazo hata pep huwa anawaza na kuwazua ni Liverpool anfield,game inakuwaga tight kweli kweli ...
UEFA na FA wanajaribu kuipunguza speed ya ukuaji City maana City imedominate EPL na sasa plan ni kutawala ulaya . Kama City akivuka tuhuma hizi salama timu pinzani zijiandae kwa maumivu .Kuna kesi huko UEFA wametuanzishia wanataka watutoe kwenye msitari sijajua inahusiana na Nini, mbona wanatuandama Sana awa mbwa
Iwapo Manchester United isiponunuliwa na mwarabu, lakin pale sheikh Jasmin atakapokua mmiliki mpya, mda c mrefu mtatafutana kwa tochi.UEFA na FA wanajaribu kuipunguza speed ya ukuaji City maana City imedominate EPL na sasa plan ni kutawala ulaya . Kama City akivuka tuhuma hizi salama timu pinzani zijiandae kwa maumivu .
Gap kati ya City na timu zingine ni kubwa hasa nyie Man U ndio kabisa mna safari ndefu ili kuweza kushindana na City.Iwapo Manchester United isiponunuliwa na mwarabu, lakin pale sheikh Jasmin atakapokua mmiliki mpya, mda c mrefu mtatafutana kwa tochi.