The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sheria ya extra time kwenye super cup imetolewa, itakua ni dakika 90 tu, asipopatikana mshindi ni penalties.
 
Vincent Kompany: “Jurgen Klopp’s Liverpool was for sure the best team we faced under Pep [Guardiola]. The biggest thing was that they were relentless, and it made them nearly as great as our Man City team at the time, but we just edged it.”
 
Hata msimu ujao timu nayoona ngumu kwetu ni Liverpool tu ....

Arsenal ni biscuits tu lain ,tunamtafuna nje ndani ...

Liverpool Bado ataendelea kuleta upinzani pale juu ,timu ambayo huwa nikiwa anaangalia mpira nasubili dakika 90 ziamue ,,,klopp sio poa akikutana na pep anakazaaa hatari hasa pale anfield...
 
Arsenal usiwa underrate namna hiyo.
 
Arsenal usiwa underrate namna hiyo.
Arsenal anaweza kumchallenge epl msimu unaokuja kutokana na sajili alizoleta ,Kai ,rice ...n.k

Anaweza hata kuchukua epl sawa ,lakin swala la kusema man city vs arsenal ni game ya pressure Kwa city huo ni uongoo ...

Game ambazo hata pep huwa anawaza na kuwazua ni Liverpool anfield,game inakuwaga tight kweli kweli ...
 
Nyie matakataka nawachukia kinoma. Na musimu ujao nawabandua nje ndani...
Ndo mpira ulivyo chuki ni sehemu ya hali wanayokuwa nayo mashabiki especially timu yako pendwa ikiwa inafungwafungwa kama ilivyokuwa chelsea msimu uliopita
 
Arsenal anaweza kumchallenge epl msimu unaokuja kutokana na sajili alizoleta ,Kai ,rice ...n.k

Anaweza hata kuchukua epl sawa ,lakin swala la kusema man city vs arsenal ni game ya pressure Kwa city huo ni uongoo ...

Game ambazo hata pep huwa anawaza na kuwazua ni Liverpool anfield,game inakuwaga tight kweli kweli ...
Halafu ongeza na game ya spurs akiwa kwake. Hawa jamaa huwa ni waajabu
 
Kuna kesi huko UEFA wametuanzishia wanataka watutoe kwenye msitari sijajua inahusiana na Nini, mbona wanatuandama Sana awa mbwa
 
UEFA na FA wanajaribu kuipunguza speed ya ukuaji City maana City imedominate EPL na sasa plan ni kutawala ulaya . Kama City akivuka tuhuma hizi salama timu pinzani zijiandae kwa maumivu .
 
Iwapo Manchester United isiponunuliwa na mwarabu, lakin pale sheikh Jasmin atakapokua mmiliki mpya, mda c mrefu mtatafutana kwa tochi.
 
Gap kati ya City na timu zingine ni kubwa hasa nyie Man U ndio kabisa mna safari ndefu ili kuweza kushindana na City.

Hata timu apewe Jassim bado mtahitaji misimu zaidi ya 6 kuweza ku-catch up na MEGA project ya City.

City hawajabahatisha kufikia hapa walipo wanachokifanya kimepangwa kwa muda mrefu na sasa watu wanakula matunda ya uwekezaji wa Sheikh Mansoor chini ya watu makini kama Khaldoon, Pep, Txik nk.
 
Ferran Soriano: "Our level of investment in new players is well thought. We are not the top net spenders of the last year or the last three or five years. When we don't like a deal, we walk away and we don't panic."
 
Mabingwa wa Treble naona mpo na hatuna shaka kunyanyua makwapa tena msimu ujao.
20230629_090145.jpg
 
Back
Top Bottom