Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kwa haya mambo yanayoendelea kwenye media Bora deal la gvardiol tupige chini ...vyanzo vingi tu vilisema tumekubali kulipa iyo £86m (€100m).
Kwanza , Leipzig wamekaza wanataka 100m +20m adds on,kitu kitakacho fanya gvardiol kuwa most expensive defender ...
Media zina hype huyu mchezaji na kujikuta Leipzig wanapandisha bei ...
Kama tunamtaka gvardiol Bora tusubili next season ,Kwa upepo wa Sasa kumchukua ni mtego ...,tutakuwa tumingia kwenye 18 za media coz hio price ni kubwa mnoo....
Kwa yale majibu ya pep Jana kuhusu kumsaini gvardiol basi naamin soon anaenda kupotezea hili deal ....
Wameuache aendelee na pre season huko Italiy na Leipzig...