The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuanzia toilet,gym ,caftelia , training ground ..utakuta hili bango ...we go again[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230719-234647.jpg
 
Cancelo ni mzuri kwenye kushambulia ....hope pep anaweza kumtumia kama winger ...
Sasa hivi tuna natural center backs 5!! na wote ni wanaume wa kazi hakuna mtoto wa academy na anaongezeka tena Gvardiol, pep huyu[emoji23]

Hapo cancelo itabidi apewe role nyingine kama winga sababu mahrez anaondoka, cancelo ndio awe replacement kama hataondoka nayeye.

Itabidi agombanie namba na mreno mwenzie bernado, kule nyuma wajuba washaziba kila nafasi, kuanza Backline asahau.
 
Pep ana jambo lake asee.

Alianza na false 9, akaja na inverted fullback, saivi anakuja na backline ya ma centerback watupu.

Dias
Stones
Akanji
Ake
Laporte
Gvardiol

Hivi vyote ni vyuma vya kazi, hii depth hapa si ya kitoto, bandika bandua, chomoa chomeka, funika funua.

Haya makombe mbona yatatuchosha sasa.
 
Gvardiol is set to become the most expensive defender in football history with a deal worth £90 million on the table.
 
Gvardiol has completed the first part of medical, he will complete the rest in the coming days.
 
Pep ana jambo lake asee.

Alianza na false 9, akaja na inverted fullback, saivi anakuja na backline ya ma centerback watupu.

Dias
Stones
Akanji
Ake
Laporte
Gvardiol

Hivi vyote ni vyuma vya kazi, hii depth hapa si ya kitoto, bandika bandua, chomoa chomeka, funika funua.

Haya makombe mbona yatatuchosha sasa.
Huu ukuta lazima epl inyanyasike kutufunga goli ...
 
Tunaanza pre season jumapili, tunacheza na Yokohama Marinos.
 
Pep kashasema anamhitaji Bado Phillips ....

Sioni kama pep anaweza muuzia klopp mchezaji mkali kama huyo ,kila mtu anajua moto wa Liverpool [emoji23]


Kuwauzia mchezaji wetu ni kuongeza matatizo kwetu ....ingekuwa arsenal sawa ,maana arsenal hata tuwauzie haaland na kdb Bado tunaweza kuwapa kichapo ...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna tetesi zinatembea kuwa gvardiol Bado yupo Germany na anajiandaa pre season na rb Leipzig...

Deal Bado halijakamilika , Leipzig wanataka 100m +adds on , na sisi inaonekana Bado hatujakamilusha makubaliano ...

Gvardiol akiwa pre season na Leipzig..
rbleipzig-20230720-0001.jpg
 
Tena rb Leipzig wamemuweka front page kabisa ,kuonesha gvardiol Bado wapo nae Sana...

Hawa jamaa wahuni kweli wanataka 100m + na atakuwa most expensive defender ever ....

Pep hapa achange karata mapema ,....
 
Kwaiyo fabrizio nae siku hizi kawa na vijistori vya kijiweni ama?

Make ali report Gvardiol anafanya medical na deal lishakua agreed kwamba tutalipa £90m.

Hawa majamaa wanatuchanganya sasa.
 
Kwaiyo fabrizio nae siku hizi kawa na vijistori vya kijiweni ama?

Make ali report Gvardiol anafanya medical na deal lishakua agreed kwamba tutalipa £90m.

Hawa majamaa wanatuchanganya sasa.

Fabrizio hakusema bei gani tunamchukua gvardiol....

Alisema kuwa anafanya vipimo vya afya hatua ya kwanza ...

Kwa haya maneno ya pep naona tukishindwana bei na rb Leipzig..

Pep hayuko tayari kabisa kutoa 100m +adds on View attachment 2694712
 
Back
Top Bottom