Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Cancelo ni mzuri kwenye kushambulia ....hope pep anaweza kumtumia kama winger ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi tuna natural center backs 5!! na wote ni wanaume wa kazi hakuna mtoto wa academy na anaongezeka tena Gvardiol, pep huyu[emoji23]Cancelo ni mzuri kwenye kushambulia ....hope pep anaweza kumtumia kama winger ...
Huu ukuta lazima epl inyanyasike kutufunga goli ...Pep ana jambo lake asee.
Alianza na false 9, akaja na inverted fullback, saivi anakuja na backline ya ma centerback watupu.
Dias
Stones
Akanji
Ake
Laporte
Gvardiol
Hivi vyote ni vyuma vya kazi, hii depth hapa si ya kitoto, bandika bandua, chomoa chomeka, funika funua.
Haya makombe mbona yatatuchosha sasa.
Huyu Chelsea watajutia sana.. Atakua anapiga mpr mwng had unamwagika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pep kashasema anamhitaji Bado Phillips ....
Sioni kama pep anaweza muuzia klopp mchezaji mkali kama huyo ,kila mtu anajua moto wa Liverpool [emoji23]
Kuwauzia mchezaji wetu ni kuongeza matatizo kwetu ....ingekuwa arsenal sawa ,maana arsenal hata tuwauzie haaland na kdb Bado tunaweza kuwapa kichapo ...
[emoji16]Mwacity upara fc mkipata kombe Lolote msimu ujao mniite ashura cheupe
Kwaiyo fabrizio nae siku hizi kawa na vijistori vya kijiweni ama?
Make ali report Gvardiol anafanya medical na deal lishakua agreed kwamba tutalipa £90m.
Hawa majamaa wanatuchanganya sasa.
vyanzo vingi tu vilisema tumekubali kulipa iyo £86m (€100m).Fabrizio hakusema bei gani tunamchukua gvardiol....
Alisema kuwa anafanya vipimo vya afya hatua ya kwanza ...
Kwa haya maneno ya pep naona tukishindwana bei na rb Leipzig..
Pep hayuko tayari kabisa kutoa 100m +adds on View attachment 2694712