The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

vyanzo vingi tu vilisema tumekubali kulipa iyo £86m (€100m).
Kwa haya mambo yanayoendelea kwenye media Bora deal la gvardiol tupige chini ...

Kwanza , Leipzig wamekaza wanataka 100m +20m adds on,kitu kitakacho fanya gvardiol kuwa most expensive defender ...

Media zina hype huyu mchezaji na kujikuta Leipzig wanapandisha bei ...

Kama tunamtaka gvardiol Bora tusubili next season ,Kwa upepo wa Sasa kumchukua ni mtego ...,tutakuwa tumingia kwenye 18 za media coz hio price ni kubwa mnoo....

Kwa yale majibu ya pep Jana kuhusu kumsaini gvardiol basi naamin soon anaenda kupotezea hili deal ....

Wameuache aendelee na pre season huko Italiy na Leipzig...
 
Oi wazee hivi hizi mechi za kirafiki za uingereza zinaoneshwa DSTV? Maana leo man city ana mechi ya kirafiki na YOKOHAMA inachezwa saa saba mchana
 
Oi wazee hivi hizi mechi za kirafiki za uingereza zinaoneshwa DSTV? Maana leo man city ana mechi ya kirafiki na YOKOHAMA inachezwa saa saba mchana
Hii game yetu sijajua kama DStv wataonesha ,but Kuna app unaweza download ukacheki game mzee ....
 
Game yetu ni mapema kabisa ,saa Saba ,wacha nifanye mambo yangu mapema ,nasubili kandanda safi ...
 
.the main reason why Leipzig refuse to sell gvardiol to city [emoji23]
 
Huja fatilia game zingine za kirafiki kama DSTV wanaonesha ? Maana hata sielewi hapa
Game ya Chelsea walionesha ....

Spurs walionesha ,....

Hata ya arsenal wameonesha ....

Hii yetu sijaona kama watairusha may be wacha nifuatilie ..
 
Hii pre season kuna timu zinaonewa balaa.

Bayern alimlamba mtu goli 27-0 [emoji23]
 
Huyu palmer yupo kama Kai havert wa arsenal ,too soft ,sijui gmy huwa haendi ....harafu anapenda kukokota mpira ,energy ya kuhold mpira hana ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…