The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tumepigwa kingne.

Kat combi ya Philips na Kova inapata shida sana na link ya Defense waanafny sana makosa.
 
Grealish sijui bado Yuko na pombe ...

Goli la pili ni mistake yake ,siku hizi hawez kukimbia Tena kurudi nyuma kudefend ...

Jamaa anakimbia kwenda kufunga jamaa ana jog tu nyuma yake [emoji848][emoji1787]
 
Grealish kamuaacha huyu jamaa mpaka cross inatoka kule juu inapigwa chin jamaa anafunga goli la pili kirahisi kabisa ..he can't defend more ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…