The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leipzig sijui wanakwama wapi, walikua wanataka €100m tumekubali, bado wanataka tuongeze ad ons [emoji1787]
Hii deal imeshabuma tu , gvardiol ni defender mzuri lakin sio Kwa bei hio ...

Hana hata vina Saba vya Ramos ...
 
Saizi sioni timu ya kuogopa ulaya sijui Madrid,buyern munich ,psg ,Barcelona ,napol ,atletico .....


Hawa wote tukikutana nao tunakuwa favourite kuwapa kichapo ....

Kwa epl ni Liverpool tu ,ndio anatusumbua ...


The biggest team in the world Manchester city ....
 
Hii deal imeshabuma tu , gvardiol ni defender mzuri lakin sio Kwa bei hio ...

Hana hata vina Saba vya Ramos ...
Gvardiol mtu sana yule, pep mwenyewe anapush deal hilo.

Vinasaba vya Ramos ni kama vipi coz gvardiol ni ball carrier, passing monster, tactical awareness na physicality vipo na ana miaka 21 tu.

Jaribu kumfuatilia utagundua pale tuna jembe haswa ka tukimpata.

Naona tuvunje benki tu, vitu vizuri lazima ugharamie.
 
THANKS YOU MAHREZ...


[emoji471] x1 Champions League
[emoji471] x4 Premier League
[emoji471] x2 FA Cup
[emoji471] x3 League Cup
[emoji471] x1 Community Shield
[emoji153] 236 apps
[emoji460]️ 78 goals, 59 assists

An incredible City career for Riyad Mahrez! [emoji122]
 
Gvardiol ni normal defender tu mkuu ,kama kina dias ,akanji ,....hio pesa tunayotaka kumpa ni kutokana na media kuhype zaidi ...ila ni pesa kubwa mnoo ...


Hana vina Saba vya Ramos hata kidogo ,ramosi ni defender katili mnoo... gvardiol sio mzuri kwenye 1 vs 1 na mshambuliaji mkali .....kaangalie mess alivokuwa anampita kombe la dunia Argentina vs crotia .....

Goli unaliona kabisa ni la gvardiol,mess anadribble mpira mpaka golin anafunga gvardiol yupo anasindikiza Sasa unasema huyo ni copy ya Ramos ...
 
Riyad Mahrez: “To play for #ManCity has been an honour and privilege. I came to City to win trophies and enjoy my football and I achieved all that and so much more. I have had five unforgettable years with this football club, working with unbelievable players, fantastic supporters, and the best manager in the world.”
 
Kati ya arsenal na man city ni club gan yenye historia ulaya na uingereza [emoji23][emoji23][emoji23]

3epl

0 CL

Hivi club kama hio ndio ya kusema ina historia....
Unaumwa wewe yaani ulinganishe Arsenal na hiyo takataka Man shitty.

Kuna Liverpool na Manchester United, baada ya hapo ni Arsenal.

Hamuoni hata humu kwenye uzi wenu, timu ina mashabiki wawili.

Halafu Arsenal ina makombe 13 ya Epl sio makombe 3 kama unavyosema.
 
Siwezi bishana na team Lina 0 CL ....

Katafute team nyenzako ambazo ni 0 CL , huna hadhi hata ya kuingia kwenye Uzi wa treble winner ...

Harafu jf ni mtandao mdogo Sana ndio maana haujulikani hata nyumba mbili za jirani zako ....

Shabiki wa man city wapo kila Kona huku jf sio justification ya kujua mashabiki wa city ....

Go to the hell mothfu***k 0 CL football club [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo haliondoi ukweli Man shitty ni timu yatima haijachangamka.

It has neither history nor identity.

Plastic club with plastic fans.
 
Wewe ni mpumbavu na mjinga ,hizo 13 epl mmechukua Lin ,siunaona ...

Mimi siwezi bishana na takataka kama nyie ,ni Bora kubishana n shabikii wa Chelsea an UTD au Liverpool sio hio club to inaanza haina historia yeyote....


Wewe kama shabiki wa arsenal una historia gani balani ulaya ? Ulishafanya Nini ulaya mpaka dunia yote ikasema yess this is the biggest club ....kama sio kutembea na bendele za mashoga [emoji23] # gaygunner mkubwa wewe tafuta team za kubishana nazo mzee sio club kubwa kama hii ....hujatufikia Kwa lolote [emoji23]
 
Si unaona sasa tukisema Man Shitty ni plastic fans mambugila mbugila tu ambao wamevamia mpira.

Sasa unabisha Arsenal haina makombe 13 ya Epl?

Unaonekana hujui chochote kuhusu soka.
 
Hilo haliondoi ukweli Man shitty ni timu yatima haijachangamka.

It has neither history nor identity.

Plastic club with plastic fans.
Mimi siwezi bishana na wazee kama nyie ,mlioanza kuangalia mpira miaka 90 ndio maana ni mashabiki wa arsenal ,zinguuka mtaani kote ukikutana na shabiki wa arsenal kijana kama mim njoo nikupe laki ,...

Mim hata sijui hio arsenal ni club ya namna gani coz Haina hata maajabu yeyote ,haijawahi kufanya kitu Chochote mpaka dunia ika appreciate,...

Hio arsenal ya Wenger ya mwaka 2003 ya invisible nayo haikuchukua hata Europa [emoji23]

Mtu akishabikia arsenal lazima nijiulize anaakiki timamu kweli au dish limeyumba ....coz sijawahi ona ni namna gani mtu mzima mwenye akili timamu anaweza shabikia timu kama arsenal ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…