The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Baada ya kuangalia game nimegundua hatuna proper right winger ...

Hii nafasi ni ya Mahrez ,na pep kwa jeuri yake anategemea bernado silva hio nafasi ....

Niseme tu mapema kuwa tunaenda kuchapika vibaya mno kama msimu unaanza hatuna winger wa kulia ...

Nilikuwa naumia Sana mipira unapigwa upande wa kulia ,et yupo walker [emoji23],haki walker sio mbunifu kabisa ile sehemu ,walker hawezi cheza kama right winger ...

Mpira unachezwa unaona kabisa kushoto mwa grealish ndio Kuna makeke ila huku chin ,hakuna kitu ,zile touch za Mahrez na kudribble kuingia ndani ya box hakuna ....

Huu msimu tutaona mengi Sana ...
 
Punguza presha mpira unabadilika kulingana na mchezo huko watu wanapasha misuri sasa unataka wakamie

Kituo kinacho fuata ni makombe
 
Si unaona sasa tukisema Man Shitty ni plastic fans mambugila mbugila tu ambao wamevamia mpira.

Sasa unabisha Arsenal haina makombe 13 ya Epl?

Unaonekana hujui chochote kuhusu soka.
Arsenal ana makombe 3 ya EPL acha ubishi wa kijinga.

Man utd 13
Man city 7
Chelsea 5
Arsenal 3
Leicester 1
Liverpool 1
Blackburn 1

Hujui soka la uingereza.
 
Gvardiol ni normal defender tu mkuu ,kama kina dias ,akanji ,....hio pesa tunayotaka kumpa ni kutokana na media kuhype zaidi ...ila ni pesa kubwa mnoo ...

Hana vina Saba vya Ramos hata kidogo ,ramosi ni defender katili mnoo... gvardiol sio mzuri kwenye 1 vs 1 na mshambuliaji mkali .....kaangalie mess alivokuwa anampita kombe la dunia Argentina vs crotia .....

Goli unaliona kabisa ni la gvardiol,mess anadribble mpira mpaka golin anafunga gvardiol yupo anasindikiza Sasa unasema huyo ni copy ya Ramos ...
Mkuu, unasema gvardiol ni wa kawaida tu kama Dias, hebu nambie, Dias akiwekwa sokon sasahivi atauzwa shingapi kwa makadirio ya haraka haraka?

Ukishasema gvardiol ni kama dias make umekubali ana deserve hiyo pesa.

By the way, beki mzuri si lazima awe mcheza rafu, mpira wa kizamani huo.
Under pep, beki lazima upige pasi za maana, uwe ball carrier panapotakiwa, mabeki wakatili wanaenda kwa kina simeone na mourinho huko.
 
Arsenal ana makombe 3 ya EPL acha ubishi wa kijinga.

Man utd 13
Man city 7
Chelsea 5
Arsenal 3
Leicester 1
Liverpool 1
Blackburn 1

Hujui soka la uingereza.
Mashabiki wa haka ka timu kakijinga mnadhani ligi ilianza 1992.

Plastic fans for sho
 
Uwe unaelewa hakuna aliyekataa kuwa arsenal mna mataji 13 overall ya ligi, kinachosema ni taji la EPL specific. Taji la Epl lilianza 1992 na ndicho kinachoongelewa kwamba Arsenal mna mataji 3 ya EPL, wewe unabisha unasema mnayo 13, sasa onyesha miaka mliyobeba hayo mataji 13 ya EPL hapa tuone.

Uwe unawaambia hata wana arsenal wenzio wakufundishe historia ya soka la uingereza so kujitutumua kumbe mweupe kichwani.
 
Uwe unaelewa hakuna aliyekataa kuwa arsenal mna mataji 13 overall ya ligi, kinachosema ni taji la EPL specific. Taji la Epl lilianza 1992 na ndicho kinachoongelewa kwamba Arsenal mna mataji 3 ya EPL, wewe unabisha sasa onyesha miaka mliyobeba hayo mataji 13 ya EPL.

Uwe unawaambia hata wana arsenal wenzio wakufundishe historia ya soka la uingereza so kuvamia nyuzi za watu kumbe mweupe kichwani.
Kwa hiyo Marko akisilimu akaitwa Hamis, anakuwa mtu tofauti?

labda kama unabishania jina na mfumo wa kiuchezaji, mimi naangalia title.

Kwa sababu hata kabla ya 1992, mshindi wa first division, title yake alitambulika kama champion of England.

Kwa hiyo Arsenal ni machampion mara 13 haijalishi ligi iliitwa epl au first division bila kujali mfumo upi ulitumika.

Read that again, you imbecile.
 
Nyie mna mataji matatu ya EPL punguza ubishi 😎
 
Kwa hiyo Marko akisilimu akaitwa Hamis, anakuwa mtu tofauti?

labda kama unabishania jina na mfumo wa kiuchezaji, mimi naangalia title.

Kwa sababu hata kabla ya 1992, mshindi wa first division, title yake alitambulika kama champion of England.

Kwa hiyo Arsenal ni machampion mara 13 haijalishi ligi iliitwa epl au first division bila kujali mfumo upi ulitumika.

Read that again, you imbecile.
Hiyo haikuwa hoja.
Hoja ilikuwa arsenal ina mataji 3 tu ya epl, hayo ya first league division hakuna aliyeyaongelea hapa.

Wewe ukaparamia ukasema mna mataji 13 ya epl, unaambiwa tuonyeshe sasa hayo 13 mmebeba lini, unaanza kuimba taarab [emoji1787][emoji1787]
 
Sijaona timu ya kutuzuia msmu huu
Ngao tunabeba
Epl tunabeba
Super cup tunabeba
FA tunabeba
Carabao tunabeba
Fifa world club tunabeba
WE ARE CITIZEN [emoji836]️[emoji841][emoji841]
 
Kuna ripoti zinasema kuna breakthrough kwenye mazungumzo yetu na Leipzig.

Kuna uwezekano wakakubali chini ya £86m.
 
Mkuu, unasema gvardiol ni wa kawaida tu kama Dias, hebu nambie, Dias akiwekwa sokon sasahivi atauzwa shingapi kwa makadirio ya haraka haraka?

Ukishasema gvardiol ni kama dias make umekubali ana deserve hiyo pesa.

By the way, beki mzuri si lazima awe mcheza rafu, mpira wa kizamani huo.
Under pep, beki lazima upige pasi za maana, uwe ball carrier panapotakiwa, mabeki wakatili wanaenda kwa kina simeone na mourinho huko.
Beki mzuri lazima awe katili ,akibali kubeba team kama timu inazamishwa ....

Kucheza rafu Kwa final attack iwe normal ili kulinda point 3 ,mfano juzi carrasco alichomfanya lewis , anapitwa then unamuacha what fo ?,defender hutakiwi kukubali mtu akupite iwe Kwa halali au haramu either ichezwe foul au umnyanganye mpira huyo ndio perfect defender .....

Dias tumemchukua Kwa bei gani ,hata 70 m haijafika ,Sasa huyu gvardiol wanataka 100m + adds on ,huu ni uhuni ,pesa nyingi sana hio ....
 
Sio kila kocha anataka beki mcheza rafu, pep mwenyewe huwa anawakaripia mabeki kucheza rafu, unapoona anapush hilo deal yeye so mjinga.
Dias tulimnunua £ 70m maana yake tukimuuza sasahivi atauzwa kwa hiyohiyo hela?
Wakati tunamnunua dias alikua kwenye competition kama alivyo gvardiol?
Demand ya mchezaji sokoni ndio ina determine bei yake ndo mana nkakuuliza dias akiwekwa sokoni sasa hivi atauzwa bei gan unafikiri? (maana ndo umemlinganisha na gvardiol)
 
Sport bild wameripoti kwamba kuna uwezekano makubaliano yakafikiwa leo kati yetu na leipzig.

Ngoja tuendelee kungoja kama tutafanikiwa.
 
Fabrizio Romano on Gvardiol deal.

"As I revealed two weeks ago, a verbal agreement was in place, the medical was booked and then the leak of the story caused big problems between city and Leipzig.

"This is part of football sometimes, especially with german clubs but I'm still told the clubs are in active talks to try to complete this deal by the end of the week, it's absolutely on and advancing"

(football365)
 
Fabrizio

"It's going in the right direction and despite the mess of two weeks ago, I still keep my 'here we go' for Gvardiol to Manchester City, I'm not changing my position on that deal"

(Football365)
(CaughtOffSide)
 
Inasemekana pep kawaka huko deal la Gvar halijakamilika mpaka sasa.

Mipango iliyopo ni kufikia mechi ya jumapili, Gvardiol awe ni the cityzen.
 
Sio kila kocha anataka beki mcheza rafu, pep mwenyewe huwa anawakaripia mabeki kucheza rafu, unapoona anapush hilo deal yeye so mjinga.
Dias tulimnunua £ 70m maana yake tukimuuza sasahivi atauzwa kwa hiyohiyo hela?
Wakati tunamnunua dias alikua kwenye competition kama alivyo gvardiol?
Demand ya mchezaji sokoni ndio ina determine bei yake ndo mana nkakuuliza dias akiwekwa sokoni sasa hivi atauzwa bei gan unafikiri? (maana ndo umemlinganisha na gvardiol)
Dias tumenunia 62m +2m add on ,, pesa ya kawaida Sana hio ...

Kwa Sasa bei ya dias kutokana na performance UEFA ,fa ,epl ...lazima ipo juu angalia na Mataji aliyochuka lazima ni 90m+ ..

Gvardiol ni mchezaji mzuri lakin ,kununuliwa Kwa pesa nyingi hivo ni scam .!! Huyu bei yake inatakiwa i range 70m-80m mwisho ,,...
 
Back
Top Bottom