Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Baada ya kuangalia game nimegundua hatuna proper right winger ...
Hii nafasi ni ya Mahrez ,na pep kwa jeuri yake anategemea bernado silva hio nafasi ....
Niseme tu mapema kuwa tunaenda kuchapika vibaya mno kama msimu unaanza hatuna winger wa kulia ...
Nilikuwa naumia Sana mipira unapigwa upande wa kulia ,et yupo walker [emoji23],haki walker sio mbunifu kabisa ile sehemu ,walker hawezi cheza kama right winger ...
Mpira unachezwa unaona kabisa kushoto mwa grealish ndio Kuna makeke ila huku chin ,hakuna kitu ,zile touch za Mahrez na kudribble kuingia ndani ya box hakuna ....
Huu msimu tutaona mengi Sana ...