The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Si unaona sasa tukisema Man Shitty ni plastic fans mambugila mbugila tu ambao wamevamia mpira.

Sasa unabisha Arsenal haina makombe 13 ya Epl?

Unaonekana hujui chochote kuhusu soka.
Unazidi kuonesha ni namna gani wewe ni mpumbavu hujui football taja miaka ambayo arsenal amechukua epl mara 13 ,team pekee yenye makombe mengi ya epl ,ni man UTD 13 ....

Au hujui hata epl kama imeanza mwaka 1992 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenal bado ina mashabiki wengi under 25 hapa bongo kuliko Man Shitty.

Kwa sababu ni timu kubwa yenye historia na utamaduni.

Mimi nimezaliwa mid 90's sijaanza kuangalia mpira hata hiyo miaka ya 90 unayoisema.

Picha ya twitter ya declan rice kusainiwa kusainiwa Arsenal ina likes nyingi kuzidi picha ya man city wakiwa wamekabidhiwa kombe la UEFA.
 
Unazidi kuonesha ni namna gani wewe ni mpumbavu hujui football taja miaka ambayo arsenal amechukua epl mara 13 ,team pekee yenye makombe mengi ya epl ,ni man UTD 13 ....

Au hujui hata epl kama imeanza mwaka 1992 [emoji23][emoji23][emoji23]
1992 it was just transformation ligi ilikuwepo kabla ya 1992.
 
Sasa tuende hoja Kwa hoja ....


Wewe arsenal una historia gani kwenye mpira uingereza na ulaya ....

Ukiachana na invisible ya mwaka 2003/2004 ,....

Huenda hujui maana ya historia wewe [emoji23]...

Huu ni mwaka wa 20 Sasa hujashinda taji la league,imagine miaka 20 ,hivi una akili sawa sawa kabisa kubishana na mim wewe mzee[emoji23][emoji23][emoji23]treble winner,the best club in the world, Toka una miaka 5 tunacheza na wewe hujawahi nifunga ...


Wewe arsenal..

Huniwezi uwanjan ...

Huniwezi kwenye makombe maana una 0 CL ..

Huniwezi ki upana wa kikosi ..

Club yako ni ndogo mno kama punje ya mchanga ukisimama mbele ya man city ....

Hunizid Kwa kila kitu ...

Na tarehe 6 tunakutana uwanjan uone Nan mwanaume na mvulana ...
 
English premier league (epl ) imeanza mwaka 1992 ,hio miaka mingine ilikuwa inaitwa jina lingine huko [emoji23]....mim halinihusu ...
Kwa hiyo mkiristo aliyekuwa anaitwa Yohana akisilimu akaitwa Hamis anakuwa mtu tofauti.

Hujui hata ligi kuu ya bongo iliwahi kuitwa ligi daraja la kwanza.
 
Arsenal ina makombe mengi kuliko Man Shitty.

Unachotuzidi ni UEFA tu.

Na hiyo ndio maana ya historia.

Hata mashabiki na umaarufu Arsenal ni mara milioni ya Man Shitty.
 
Arsenal ina makombe mengi kuliko Man Shitty.

Unachotuzidi ni UEFA tu.

Na hiyo ndio maana ya historia.

Hata mashabiki na umaarufu Arsenal ni mara milioni ya Man Shitty.
Leta data ....

Follower Instagram...

Followers tweeter ...

YouTube channel subscribers na viewer ...

Followers Facebook ....

Tuone ni club gani inafuatiliwa Kwa wingi duniani ...

Sio uuko kijijin na wajomba zako hapo umewanunua hayo magunia ya arsenal et ni arsenal fans[emoji23]

Harafu historia sio makombe tu,makombe hata Everton anayo ni moment za football unazoweka kwenye ulimwengu wa soko mpaka dunia nzima ina undergo heart attack.....
 
Na ajue kuwa tupo saaana tu tena full shangwe.
 
Hii ni new era chalii yangu. Kuichukia City utapata kisukari bure. History in the making.

80s ilikua era ya Liverpool, 90s na 2000s era ya united, 2010s/2020s-? Era ya Cityzens.

Usisahau kumnunulia mwanao jezi ya Haaland no 9.😎
 
UEFA ngapi makombe yote ya EPL HUJAZALIWA
 
Wanafungwa na buyer 10
 
Sasa likes zina maana gani!?
 
Ukidownload app ya score 808 unaona game zote za kirafiki ....hata epl ikianza ni full kustream free ...
 
Saizii naangaalia game live man city vs atletico Madrid na hio app ...Haina kusuasua kabisa ..
 
Hizi sub tulizofanya [emoji23][emoji23]

Ft

Man city 1-2atletico Madrid ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…