Naona pep yupo serious hataki kumuacha kabisa ...but Kwa hio bei sawa ...Man city have reached an agreement with RB leipzig to sign Gvardiol.
A deal is worth £78m.
(The athletic)
Leipzig wamelainika ghafla asee, kutoka £86 mpaka £78mNaona pep yupo serious hataki kumuacha kabisa ...but Kwa hio bei sawa ...
Sioni kama atacheza hata Kwa pressure..
Cancelo mwenyewe anaona aibu kubaki kwenye team ambayo aliisaliti mwanzo ...Barcelona wameshafikia makubaliano ya personal terms na cancelo.
Safi ....Gvardiola anatua manchester ndani ya masaa machache yajayo, kashaagana na teammates wake.
Yeah ila lazima awepo uwanjani kama akikamilisha vipimo mapema na kusaini mkataba.Safi ....
Game ya arsenal sioni alicheza ni mapema mnoo