The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna vijeba wamekuja kutema nyongo humu, hichi kisahani kimewapa nafasi ya kupumua make vichapo ambavyo huwa tunatembeza ni balaa, tunachekwa mara moja kwa mwezi.
[emoji23]Leo hawa wapuuz wamepata pa kuongelea walau maana vipondo tulivokua tunawapa mfululizo walikua wanakosa raha sana.

Niwaambie tu Wana Gunners shida iko pale pale kwny ligi tutaendelea watembezea vipigo vile vile.
 
Nyie mna bahatisha tu
Huwezi bahatisha kila game
Niliona final yenu na Inter nikasema Man City hamna team ni full bahati.
Yule Havertz alikua anaimaliza hii mechi mapema sana ikawa tu bahati kwenu

Nani sasa hayaogopi Majogoo ya Anfield?
 
Wakuu
kuna jambo kama nmeliona ni la kuhofia sana, team bila KDB inakosa creativity yoyote na pia graph 📉 inazid kushika sababu ya umri. Angalau alivokuwepo Gundogan
 
Kuna vijeba wamekuja kutema nyongo humu, hichi kisahani kimewapa nafasi ya kupumua make vichapo ambavyo huwa tunatembeza ni balaa, tunachekwa mara moja kwa mwezi.
Mhh. Mbona sijaona comments nyingi za watu wa Arsenal humu? Wamekuja mashabiki wachache tu kuwatania humu, wa timu tofauti na kati yao ni Carasco Putin asiye eleweka hata Yuko wapi.

Wote tunajua hii ni friendly. Wote tunajua Pep na Arteta wote waliichukulia hii game kama zaidi ya friendly. Wote tunajua Man City imekuwa ngumu kuifunga Kwa kucheza style yetu ya mpira Kwa miaka mingi yet tunaona hilo ndilo tunajaribu kurekebisha. Beat the best with entertaining football na wote tunaona kuwa taratibu tunaanza kufikia malengo yetu. Soon enough tutarudi zama zetu za 80s and 90s Kwa City kuwa kibonde wetu tena. It's been a long time coming but dalili ya mvua ni mawingu na hofu yenu kuwa sleeping giant kaamka inaonekana wazi.

Pia msijipe ufahari msionao, sisi hatuna muda na jukwaa hili kiushabiki na kimajadiliano. Tuko busy na mahasimu wetu wa kweli kina Man U na Liverpool ambao hata wakimaliza wa sita tuko nao kuchangamsha genge kwao.

lakini hatuna muda na nyie maana tunawaona kama hamna mashabiki wengi na tunawaona kama glory hunters flani tu.
Tunapita mara moja moja tu kuona yule shabiki mmoja wa City anayewakilisha hili jukwaa kapost Nini.
 
Timu nyingi nzuri hazina uzoefu na penalties maana huwa zinakamilisha mauaji yake ndani ya regular time. Ila usihofu sana Pep ni detail oriented sana na kama ameona hili ni tatizo kwake hakika atalishughulikia haraka sana
 
Wakuu
kuna jambo kama nmeliona ni la kuhofia sana, team bila KDB inakosa creativity yoyote na pia graph inazid kushika sababu ya umri. Angalau alivokuwepo Gundogan
Yeah, tulikua tunashindwa kupenya kabisa, ilikua ni side passes tu za kutosha.
 
Wakuu
kuna jambo kama nmeliona ni la kuhofia sana, team bila KDB inakosa creativity yoyote na pia graph [emoji410] inazid kushika sababu ya umri. Angalau alivokuwepo Gundogan
Mimi nilishaliona ...

itatuchukua muda Sana kupata creative midifilder kama gundo au kdb ...

Pep anajaribu kumtumia kovacic lakin ,Bado anashindwa kufanya kazi ya kina gundo ,gundo na kdb ni natural talented , unique by nature ....

Nimwangalia movement za kovacic,ku link na haaland naona Bado kabisa ,anahitaji muda ....

Foden anatakiwa kuanza kucheza kama midifilder,ana turn nzuri ambazo akigeuka anashambulia kwa hatari ....


Bila kdb tunapiga side way pass na back pass ...stone tu ndio anajaribu kupenya kwenye mid lakin Bado hatimizi majukumu ya kina gundo ....

Kiufupi itatuchukua muda Sana guys ,hili itabidi tulivumilie ....

Namuona foden kama anaudhubutu na anajua kupiga pass hatari kwenda mbele ...
 
Matokeo mliyopata Jana ni kama mmewin 1-1 [emoji23][emoji23][emoji23]....

Kila Kona nayopita nasikia arsenal kawin,ila kila nikiangalia mpira naona arsenal alidraw ...

Kiufupi arsenal mnasafari kubwa Sana , hio arsenal ya 90 unayosema mim sikuiona ila sijaona kama arsenal ni opponent wa kutusumbua kwenye league kabisa ....

Kocha wenu Bado ni muoga ...

Wachezaji wenu wakikutana na city ni waoga ....

Golden Chance never come twice ile bahati ya Jana ya deflection usijekufikili itakuja kitokeaTena [emoji23]...

Tutakutana PL ....
 
Ndiyo maana nikasema tunawaheshimu na mmetutesa sana ila ukiangalia kiuchezaji, tulikuwa tumelala ila Sasa tunaamka.
Sasa una fursa ya kuziona zile zama za nyie mlivyokuwa vibonde wetu maana zinarejea hivi punde. Chelsea nao walitutesa sana ila Sasa tumewarudisha kwenye nafasi yao. Manyumbu nao wanaelekea huko. Nyie pia mtafika
 
Sasa hapa wewe ndo unajipa umuhimu ambao huna.

Uje kujadiliana na nani humu timu trophyless?
[emoji23][emoji23]
Nenda kajadiliane na matrophyless wenzio humu hatuna mda na mayatima wa kimakombe.
 
Team ambazo arsenal ataingia Kwa kujiamin Kwa Sasa ni Liverpool,man UTD ,Chelsea ......ila likija Kwa city mashabiki wote wa arsenal duniani wanaingia uwanjan roho mkononi hawajui kitakachowakuta ....

Kusema kweli kama huu msimu tusipokuwa vzuri ,epl ni yenu kwa sababu, Liverpool inachechemea ,Chelsea nao ndio hivo Tena ,man UTD haielewiki week hii wako vzuri week ijayo Maguire kachoma ....

Kama tukisinzia huu msimu arsenal mnaweza chukua epl ....
 
Duuuh sijui kwann uliandika, [emoji24][emoji24]
 
Wakuu
kuna jambo kama nmeliona ni la kuhofia sana, team bila KDB inakosa creativity yoyote na pia graph [emoji410] inazid kushika sababu ya umri. Angalau alivokuwepo Gundogan
Hata Final ile ya UEFA, alipotoka KDB team ilikoda utulivu, aaah.
Naogopaa
 
Hata Final ile ya UEFA, alipotoka KDB team ilikoda utulivu, aaah.
Naogopaa
Kovacic anachukua nafasi ya gundo ,sijui kama ataweza kuvaa viatu vyake ...

Kdb Bado yupo , hatuwezi kutafuta mbadala wake ...

Cha mhimu pep anatakiwa aangalie namna ya kuwachezesha kovacic na kdb pamoja ....
 
Mm ni arsenal DAMU shabiki kindakindaki wa Arsenal shahidi Flano
 
Mm ni arsenal DAMU shabiki kindakindaki wa Arsenal shahidi Flano
[emoji23][emoji23][emoji23] Carasco Putin ni Arsenyau lialia iwe mvua iwe jua, daaahh ila wewe jamaa ni miongoni mwa mashabiki wachache wa soka wanaoifurahia na kuifaidi sana burudani halisi ya football.
Wewe umejichagulia mpira kua ni buradani na sio chanzo na sababu ya kukuletea stress, timu yoyote itakayoshinda ndio timu yako safi sana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio philosophy yako mimi nimeikubali kinyama ni vile siwezi tu wasaliti nyumbu wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…