Mhh. Mbona sijaona comments nyingi za watu wa Arsenal humu? Wamekuja mashabiki wachache tu kuwatania humu, wa timu tofauti na kati yao ni
Carasco Putin asiye eleweka hata Yuko wapi.
Wote tunajua hii ni friendly. Wote tunajua Pep na Arteta wote waliichukulia hii game kama zaidi ya friendly. Wote tunajua Man City imekuwa ngumu kuifunga Kwa kucheza style yetu ya mpira Kwa miaka mingi yet tunaona hilo ndilo tunajaribu kurekebisha. Beat the best with entertaining football na wote tunaona kuwa taratibu tunaanza kufikia malengo yetu. Soon enough tutarudi zama zetu za 80s and 90s Kwa City kuwa kibonde wetu tena. It's been a long time coming but dalili ya mvua ni mawingu na hofu yenu kuwa sleeping giant kaamka inaonekana wazi.
Pia msijipe ufahari msionao, sisi hatuna muda na jukwaa hili kiushabiki na kimajadiliano. Tuko busy na mahasimu wetu wa kweli kina Man U na Liverpool ambao hata wakimaliza wa sita tuko nao kuchangamsha genge kwao.
lakini hatuna muda na nyie maana tunawaona kama hamna mashabiki wengi na tunawaona kama glory hunters flani tu.
Tunapita mara moja moja tu kuona yule shabiki mmoja wa City anayewakilisha hili jukwaa kapost Nini.