Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I saw this coming, adios Hughes! What's up Benitez?
Spot on MTM,Invisible, what happened to Hughes sio sports kabisa, he needed time kutengeneza timu, unaweza kuwa na squad lakini usiwe na timu... nilipenda jinsi manure walivyomsaidia fergie kufikia pale!!! Tatizo mpira umekuwa biashara kama vile ya kuuza kalamu, kuku au guruwe... watu wanataka quick return, sadly hawatapata wanachotaka kirahisi... Pole hughes, mchezaji mzuri sana na pia kocha mzuri kama tulivyoona wakati ukiwa blackburn
Husu Rafa, hapo pagumu... sasa hivi liverpool hakuna timu wala owners, ni mnara wa babeli tu pale... kibaya zaidi ni ile pingu rafa aliyowapiga wale yankees!!! Ukiniuliza mimi, ntasema we need Rafa for at least three more years, kuwa na timu kubwa, tunahitaji legends na era yake, rafa ndio anamalizia kuweka legacy yake na lazima huwa kuna resistance to changes, na hizo ndio zinazoua timu yetu, its a phase na ninaamini by january transfer tutaona shocks na timu itabadilika
Natamani liverpool wabaki na rafa for 3 mroe years
Naona Mancini kagundua kosa moja la hughes, la kumchezesha Shon Rightphilips badala ya Petrov.naona yeye anampa shavu sana petrov na imeprove kuwa sawa kabisa, jama mzuri sanaa[petrov]
Watu waniamini mimi kwamba MAN CITY wana break into BIG FOUR. sasa anayetoka atajijua - nafikiri Liverpool kashakubali yaishe.
Vierra ni mzoefu, atafanya mchango mkubwa sana pale kati.