The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa jamaa nao wanachemka huyo Roberto Manchini nae hamna kitu
 
I saw this coming, adios Hughes! What's up Benitez?

Invisible, what happened to Hughes sio sports kabisa, he needed time kutengeneza timu, unaweza kuwa na squad lakini usiwe na timu... nilipenda jinsi manure walivyomsaidia fergie kufikia pale!!! Tatizo mpira umekuwa biashara kama vile ya kuuza kalamu, kuku au guruwe... watu wanataka quick return, sadly hawatapata wanachotaka kirahisi... Pole hughes, mchezaji mzuri sana na pia kocha mzuri kama tulivyoona wakati ukiwa blackburn

Husu Rafa, hapo pagumu... sasa hivi liverpool hakuna timu wala owners, ni mnara wa babeli tu pale... kibaya zaidi ni ile pingu rafa aliyowapiga wale yankees!!! Ukiniuliza mimi, ntasema we need Rafa for at least three more years, kuwa na timu kubwa, tunahitaji legends na era yake, rafa ndio anamalizia kuweka legacy yake na lazima huwa kuna resistance to changes, na hizo ndio zinazoua timu yetu, its a phase na ninaamini by january transfer tutaona shocks na timu itabadilika

Natamani liverpool wabaki na rafa for 3 mroe years
 
Spot on MTM,
Hawa waarabu ilipaswa waelewe biashara ya mpira iko tofauti na traditional business, haiwezekani kupata quick return, ila kutokana na maelezo yao inaelekea Hughes aliwapa matumaini feki, sababu wamesema mpaka sasa imetokea ni tofauti na makubaliano yao, pengine walitegemea kushinda every 2 games?
Anyway hughes anakunja mkwanja na Mancini hawezi kufanya miujiza vilevile, ukiondoa Chelski sababu ya dominance ya top 4 team katika premier league ni stability.
 
Mancini has signed a 3½-year deal worth £10.8 million, which will tie him to the club until June 2013, although it has been suggested that there is a clause that would allow for a parting of the ways at the end of the season if City have not finished in the top four.

The Italian is understood to have been told three weeks ago that he would be replacing Hughes as manager after meeting al-Mubarak for dinner in London. Hughes was only formally told that he had been sacked after City's 4-3 win at home to Sunderland on Saturday during a ten-minute meeting with al-Mubarak, even though he had gone into the game knowing his 18-month tenure as manager was over.

In a statement issued via the League Managers Association website yesterday, Hughes could barely contain his anger that secretive moves had been afoot to replace him with Mancini for weeks.

"I was informed after the match against Sunderland that my contract with Manchester City was being terminated with immediate effect," he said. "Notwithstanding media coverage to the contrary, I was given no forewarning as to the club's decision.

"Given the speed with which my successor's appointment was announced, it would appear that the club had made its decision some considerable time ago."

Mancini will be presented as City manager at a press conference this afternoon, although as of last night, Cook had decided not to attend as originally planned.
In a statement, al-Mubarak said that a run of two wins in City's past 11 Barclays Premier League matches was "clearly not in line with the targets that were agreed and set" .

Hughes, though, believes City, who are six points off fourth place with a game in hand on Aston Villa, were on course. "At the beginning of the season, it was agreed that a realistic target for the season would be sixth place in the Premier League, or in the region of 70 points," he said.

Source:timesonline.co.uk
 
Mark Hughes is expected to leave Manchester City with a maximum £3m pay-off under the contract granted by the former owner Thaksin Shinawatra as he had not received an improved deal from the club's oil-rich backers in Abu Dhabi.

Despite being entrusted with a £200m overhaul of City's playing staff, Hughes's terms never improved on the three-year deal worth an estimated £35,000-£40,000 a week he signed on joining from Blackburn Rovers in June 2008. His arrival came two months before Sheikh Mansour purchased City from the controversial former Thai prime minister Thaksin and he leaves with 18 months remaining on that deal. The final severance figure, however, may be determined by whether he gains alternative employment in that period
 
Roberto Mancini targets Manchester City title triumph

mancini.jpg

Manchester City manager Roberto Mancini has his sights set on a top-four finish this season before going all out to win the Premier League title next term.
Former Inter Milan boss Mancini was unveiled as City's new boss on Monday, replacing the sacked Mark Hughes.

"At this moment my target is the top four," said Mancini. "Next season we want to win the Premier League."

"I hope to stay here for many years and win many trophies. City has great fans I hope we do a good job for them."

Mancini was appointed manager of City on Saturday, signing a three-and-a-half year contract at the club.

Hughes lasted only 18 months in the job and was axed with the club lying in sixth place in the top flight and having been beaten only twice in the league this season.

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/teams/m/man_city/8425877.stm
 
Naona jamaa kaanza na vishindo kweli.
Haya wangwana hebu tusubiri.
 
Jamaa ameshaweka targets tayari, amuulize Scolari au Juande Ramos premier league inafanya kazi vipi.
 
Next season Man City watakuwa na kocha mwingine huenda akawa Mourinho
 
Nawatakia Xmas njema na Heri ya mwaka mpya wa 2010 wanamichezo wote wa humu jamvini JF(Wazee wa Mamn Utd,Chelsea,Liverpool,Tottenham,Man City),Bila kuwasahau wapenzi wote wa EPL,VodaCom Premier League,Ligi ya Zenji,Bundesliga,La Liga,Eredivisie,Ligue 1,Serie A Nn.k,nwatakia mafanikio ninyi binafsi na timu mzipendazo katika mwaka mpya wa 2010...Pamo jah
 
Naona Mancini kagundua kosa moja la hughes, la kumchezesha Shon Rightphilips badala ya Petrov.naona yeye anampa shavu sana petrov na imeprove kuwa sawa kabisa, jama mzuri sanaa[petrov]
 
Naona Mancini kagundua kosa moja la hughes, la kumchezesha Shon Rightphilips badala ya Petrov.naona yeye anampa shavu sana petrov na imeprove kuwa sawa kabisa, jama mzuri sanaa[petrov]

Watu waniamini mimi kwamba MAN CITY wana break into BIG FOUR. sasa anayetoka atajijua - nafikiri Liverpool kashakubali yaishe.

Vierra ni mzoefu, atafanya mchango mkubwa sana pale kati.
 
Watu waniamini mimi kwamba MAN CITY wana break into BIG FOUR. sasa anayetoka atajijua - nafikiri Liverpool kashakubali yaishe.

Vierra ni mzoefu, atafanya mchango mkubwa sana pale kati.

Sisi yetu macho ngoja wenyewe waje.
 
Mancini naona leo kakaribishwa rasmi kwenye Premier League inabidi apate ushauri kutoka kwa Acheni lote na yule kijana wa West Ham.

_47125645_saha_ap.jpg
 
Back
Top Bottom