The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Daah jana sikucheki game ila nmeangalia replays, itoshe kusema tunahitaji kusajili zaidi, pale kati na pembeni hakuna ubunifu kabisa, tunafunga kwa tabu sana, haaland anakuwa isolated mnoo mpaka unasahau kama tuna mchezaji anaitwa haaland uwanjani.

All in all conglatulatin guys, the first super cup in our history.

The cityzens.
 
Ndo ukubwa wenyewe, wanasema ukubwa unakuja na majukumu yake, acha tuyabebe hatuna namna.
 
Vs Newcastle twende na hii
Ederson
Walker Stones Dias Ake
Rodri Kovacic
Bernado Alvarez Foden
Haaland
Kuna muda naona kuchezesha haaland na Alvarez wote kwa pamoja tunakuwa exposed katikati ...

Hao wote ni striker by nature wanahitaji mipira kurishwa ...so mzigo unakuwa mkubwa tukipoteza mpira ..

Hapa inabidi kwa namna yeyote kovacic ajitahid kupiga cross kwa haaland....

Kovacic anajitahidi kupiga pass kwa haaland lakin movement na pass hazifiki kwa wakati ...

Toka mahrez na kdb ,sion mwingine mwenye uwezo wa kupiga free kick ...

Hata foul za kutenga pep kampa majukumu foden lakin foden hawez ,cross zake hiziko vzuri ,ngumu mno kutunga ...

Hatuna winger ,Palmer ni talented lakin Hana experience sion Kama ni mtu wa kutegemea uefa ,epl ,....
 
Erik Lamela: Manchester City is the best team in the world, we gave everything we had today and we can sleep comfortably with what we did."

#SuperCup
 
Sahihi Palmer physique yake bado sana kushindana na beki watukutu wa EPL anafaa kama sub. Tunahitaji RW mpya na usajili wa Paqueta ukamilike mapema.

Pep muda mwingine kama itashindikana kuwaanzisha Haaland na Alvarez kwa pamoja ajilipue kumfanyia sub Haaland aingie Alvarez pale Haaland anaposhikwa sababu Alvarez anajua kutengeneza nafasi.
 
Dirisha linakaribia kufungwa bado tunajivuta, leta uyo doku na paqueta tuendeleze mapambano.
 
Bernado Silva na stone wakiwa fresh kesho tunamaliza game mapema ...

Kikosi Cha kesho

Ederson

Walker -----stone ---dias ----ake

Rodri ----kovacic --berando Silva

Foden ------haaland ---+grealish

Hapa Newcastle hawatoki ...
 
Kuna team zinaenjoy tena zinabebwa ,arsenal anasababu gani ya kucheza game yake jumatatu [emoji3]

Wakati sis tumecheza game Tena ngumu final jumatano na jumamosi tuko uwanjani Tena,tumepumzika siku mbili tu ...

ila Kuna team zimecheza jumamosi ,zinacheza Tena jumatatu ,yaani siku 8 zimepumzikia ...
 
- Replacing Kevin De Bruyne in the market with a midfielder?

[emoji2424] Pep Guardiola: "Maybe, or maybe not. We will see. We are talking, and we will see what happens. Phil can play there, McAtee can play there, Kovacic can play there, Bernardo can play there.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…