Mnasahau sanaKuna team zinaenjoy tena zinabebwa ,arsenal anasababu gani ya kucheza game yake jumatatu [emoji3]
Wakati sis tumecheza game Tena ngumu final jumatano na jumamosi tuko uwanjani Tena,tumepumzika siku mbili tu ...
ila Kuna team zimecheza jumamosi ,zinacheza Tena jumatatu ,yaani siku 8 zimepumzikia ...
Hii ni Newcastle,...Mnasahau sana
Last season mlicheza na dortmund jtano uefa mkashinda mkacheza na wolves jmosi saa nane mchana mkashinda
leo hii wasiwasi unatoka wapi wakubwa ???
last time mlicheza ujerumani mkarudi alhamis ijumaa mkatrain jmosi mchana mkacheza mkashindaHii ni Newcastle,...
Harafu wachezaji hawaja train maana wameingia England alhamis ,ijumaa wakapumzika jumamosi game ...
Pep kasema lazima wapumzike ni haki yao ...
Sarcastic 😃Mnasahau sana
Last season mlicheza na dortmund jtano uefa mkashinda mkacheza na wolves jmosi saa nane mchana mkashinda
leo hii wasiwasi unatoka wapi wakubwa ???
Mmeanza kuota mapembe😃last time mlicheza ujerumani mkarudi alhamis ijumaa mkatrain jmosi mchana mkacheza mkashinda
acha uoga bro man city ni timu kubwa
halafu mbona last time hamkulalamika it seems mna hofu na newcastle, tulieni dawa iwaingie
Haww watatusumbua kweli lkn watapigwa tuko kwetu tuna advantage ya home crowd.Mwaka huu mgum sn kwetu labda msimu utapopinduka tutakaa sawa
Newcastle watatusumbua sanaaaaa
Hatuwaogopi newcastle, FA hawako fair.last time mlicheza ujerumani mkarudi alhamis ijumaa mkatrain jmosi mchana mkacheza mkashinda
acha uoga bro man city ni timu kubwa
halafu mbona last time hamkulalamika it seems mna hofu na
Fair ndo mmeiona leoHatuwaogopi newcastle, FA hawako fair.
Tatizo pesa, siku hizi hatutoitoi tu hela hovyohovyo, wale leipzig wanataka £88m, hiyo hela haiwezi kutolewa na pia leipzig wameshauza nkunku, gvardiol na szobozlai kwaiyo hawatolegeza kabisa.Nasikia tunamnyatia yule dogo wa RB Leipzig, Daniel Olmo.
Tukifanikiwa kum-sign ataboost sana attack yetu kule mbele.
Usifanye assumption, unajuaje tusingesema chochote.Fair ndo mmeiona leo
mngekuwa mnacheza na luton town msingeongea chochote
Dili limepigwa stop now, huyp tushamkosa tayari.Paqueta dili nimekufa kifo kibaya sana maana ajali mbaya sana imetoka
nimetoa reference hapo ya last seasonUsifanye assumption, unajuaje tusingesema chochote.
Leo Newcastle wanawanyuka na ndo ishara ya wao kuwa mabingwa.Bila kuleta attacking midfielder huu mzunguko wa kwanza utakua mgumu mno, naona haaland anaenda kuwa werghost.
Mnabid mjifunze kitu kila mara mnarudia makosa yale yale.Leo Newcastle wanawanyuka na ndo ishara ya wao kuwa mabingwa.
Kovacic anaenda kucheza nafsi ya stone ..Mnabid mjifunze kitu kila mara mnarudia makosa yale yale.
Pep kwny mbio za ubingwa usianze kumuongelea saivi atakutoa nishai tulieni. Mastermind anafuta njia sahihi ya sisi kua mabingwa mara 4 mfululizo na ataipata tu.
Leo tuko ivi.
Let's go#TheCityzens [emoji1491]
View attachment 2721915
Na bado rodri siku akiumia ndio itakuwa majanga zaidi ....Bila kuleta attacking midfielder huu mzunguko wa kwanza utakua mgumu mno, naona haaland anaenda kuwa werghost.