The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Alvarez alichofanya world cup mpaka lautaro Martinez wa intermillan alikaa bench ... Argentina ikawa inamtegemea Alvarez..

Sema pep kashaweka Iman kwa haaland so Alvarez anahitaji muda kumprove pep kuwa anaweza kumzidi haaland ...
 
Kbs lkn siku Haaland akianza kudeep in form hlf Alvarez aanze kupata nafas mara kwa mara, Haaland atalia kuondoka kbs maana huyo dg ana balaa sio kawaida.

Yan ukimuona uchezaj wake unajua kbs kua hapa nina complete striker [emoji817]
 
Kwa perfomance ya leo ya kova na foden, kuna matumaini ya kusurvive kwenye hiki kipindi cha majeruhi.

Midfield yetu imetoa solid perfomance, inabidi tuzoee kucheza bila kdb.
 
Kwa perfomance ya leo ya kova na foden, kuna matumaini ya kusurvive kwenye hiki kipindi cha majeruhi.

Midfield yetu imetoa solid perfomance, inabidi tuzoee kucheza bila kdb.
Hapo kova sina nae shida kwny Consistency.

Hapo wa kuomba awe n form nzr ni foden aache mambo ya on and off akiweza ilo bas kdg round ya kwnz hii tutakua vzr zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…