The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep kasema leo grealish anaweza kucheza amefanya training, kova ame recover lakn sio kwa kiasi cha kuweza kucheza leo, bernado, stones wao bado wapo nje.
 
Doku vs Grealish...

Hapa pep atapata wakati ngumu Sana kujua Nani hasa anatakiwa kuanza XI,doku anaspeed ,ana nguvu anajua kushambulia na kuingia ndani Kwa kasii , ila changamoto yake Ni moja turn back kwake Ni mtihani ....hawezi kushambulia na Kurudi nyuma kudefend ...ndio maana Goli la Westham lilitoka upande wake japo kipindi cha Pili aliweza kusawazisha makosa yake ...

Grealish ,anajua kuficha mpira Sana ,falsafa take Ni "calm and don't lose the ball" Yuko tayari kudribble anarudisha Kwa goalkeeper kuliko kupoteza mpira Kwa kumpiga unnecessary pass ,.... changamoto ya jack Ni kwamba anapiga back pass nyingi sana kuliko kurisk mpira kwenda mbele kushambulia Goli ..

Grealish Ni mwepesi Sana Kurudi nyuma kudefend pale team inapopoteza mpira ...



Doku anaonekana kuwa na skills Zaid ndio maana imechukua game mbili tu kuonekana kaingia kwenye mfumo ,huku Grealish alistruggle bench karibua msimu mzima ...

Namuona doku akifikia goal na assist za Grealish alizopata ndani ya game 10 tu kama akiendelea kupata no ...

Kutokana na uingereza wa Grealish basi anauwezekano WA kuwa anaanza kwenye game nyingi tofauti na doku ...japo kiuwezo doku Yuko mbali Sana kumzidi jack ...jack toka anajiunga na city Kwa PL goal &assist ....hizi takwimu doku anaenda kuzifikia soon ndani ya game chache ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…