goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Nunez mtam hana bayaMajeruhi yametuandama, kama kovacic asipokuwa fiti, nunes atakuwa na chance nyingine tena ya kuanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunez mtam hana bayaMajeruhi yametuandama, kama kovacic asipokuwa fiti, nunes atakuwa na chance nyingine tena ya kuanza
Game bado kijana soon utaamza kuokota makopo [emoji23]Nipo na wahuni Nottingham Forest.. tunawapiga kamba 1 tunapaki bus mpaka mwisho.
Awoniyiiiii [emoji460]
Grealish Yuko bench doku kaanza kama kawaida ...Pep kasema leo grealish anaweza kucheza amefanya training, kova ame recover lakn sio kwa kiasi cha kuweza kucheza leo, bernado, stones wao bado wapo nje.
Zitatembea card leoLeo kazi ipo