The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hapa Liverpool na brighton ndo wako karibu, arsenal anazidi kuzama tu.
Huu msimu tuko na Liverpool Tena ....

Brighton simpi nafasi Sana naonaga kama nguvu ya soda kuna muda pumzi inakata ...

Arsenal na yeye kama vile Hana spirit ya kupambania kombe ,kuna muda wanajisahau kabisa na kudrop point kwenye mazingira ambavyo ilikuwa mhimu kuchukua point 3+...

Klopp Naona akiamua kwenda jino Kwa jino na pep ,huwa anahakikisha mpaka may kimeumana ...
 
Kinachonipa wasiwasi ni majeruhi, plus na suspension ya kijinga kama ya rodri.

Sasa kama sasahivi hizi mechi tatu tutacheza bila DM wa kueleweka maana kalvin phillips so wa kumueekea matumaini kabisa.

Kuna uwezekano mkubwa tukadondosha point ndani ya hizi game 3 zijazo ukizingatia umuhimu alionao rodri pale kati na hatokuwepo.
 
Mkuu hadondoshi mtu point hapa gari lishashaanza kushika moto hivyo na ndo mwendo wake huo.
 
Mkuu, kiungo bila solid DM kama rodri kwa mechi tatu mfululizo ambapo katika izo mechi ni wapinzani wetu arsenal sio suala la kuchukulia poa hivyo.

Hapo ni either acheze phillips au mmoja kati ya kova na bernado, kivyovyote vile huwezi pata output Kama ya rodri.

Tutakua legelege mno pale kati.
 
Tutakua legelege mno pale kati
 
Mkuu, kiungo bila solid DM kama rodri kwa mechi tatu mfululizo ambapo katika izo mechi ni wapinzani wetu arsenal sio suala la kuchukulia poa hivyo.

Hapo ni either acheze phillips au mmoja kati ya kova na bernado, kivyovyote vile huwezi pata output Kama ya rodri.

Tutakua legelege mno pale kati.
itabidi kalvin acheze hio nafasi ....

Au Nunez aungane na Kovacic pale kati kutengeneza double pivot kama alivyokuwa anacheza kova na rodri...maana Nunez kaanza vzuri Naona ...

Siunajua stone atarudi lin...ila katika hizo game zilizobaki moja Ni fa cup Newcastle, EPL Ni mbili Wolves na Arsenal ......
 
Newcastle karudi Kwa kasii baada ya kupoteza game 3 mfululizo ...kapiga MTU Goli 8 huko ...
 
Hii game leo hatutoboi. Kikosi gani sasa hiki cha kumpangia newcastle [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_0594.jpg
 
New castle shikilia hapohapo
Kanyaga twende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sifuri ni nini?
Maana yake hakuna kitu

Sifuri ni nini?
Maana yake mmezungusha

Sifuri ni nini?
Maana yake ni nunge

Sifuri ni nini?
Maana yake Makubwa jinger

New castle for life[emoji482]
Screenshot_20230928-000133.jpg
 
Back
Top Bottom