Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Huu msimu tuko na Liverpool Tena ....Hapa Liverpool na brighton ndo wako karibu, arsenal anazidi kuzama tu.
Brighton simpi nafasi Sana naonaga kama nguvu ya soda kuna muda pumzi inakata ...
Arsenal na yeye kama vile Hana spirit ya kupambania kombe ,kuna muda wanajisahau kabisa na kudrop point kwenye mazingira ambavyo ilikuwa mhimu kuchukua point 3+...
Klopp Naona akiamua kwenda jino Kwa jino na pep ,huwa anahakikisha mpaka may kimeumana ...