Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Huu msimu tuko na Liverpool Tena ....Hapa Liverpool na brighton ndo wako karibu, arsenal anazidi kuzama tu.
Kinachonipa wasiwasi ni majeruhi, plus na suspension ya kijinga kama ya rodri.Huu msimu tuko na Liverpool Tena ....
Brighton simpi nafasi Sana naonaga kama nguvu ya soda kuna muda pumzi inakata ...
Arsenal na yeye kama vile Hana spirit ya kupambania kombe ,kuna muda wanajisahau kabisa na kudrop point kwenye mazingira ambavyo ilikuwa mhimu kuchukua point 3+...
Klopp Naona akiamua kwenda jino Kwa jino na pep ,huwa anahakikisha mpaka may kimeumana ...
Mkuu hadondoshi mtu point hapa gari lishashaanza kushika moto hivyo na ndo mwendo wake huo.Kinachonipa wasiwasi ni majeruhi, plus na suspension ya kijinga kama ya rodri.
Sasa kama sasahivi hizi mechi tatu tutacheza bila DM wa kueleweka maana kalvin phillips so wa kumueekea matumaini kabisa.
Kuna uwezekano mkubwa tukadondosha point ndani ya hizi game 3 zijazo ukizingatia umuhimu alionao rodri pale kati na hatokuwepo.
Mkuu, kiungo bila solid DM kama rodri kwa mechi tatu mfululizo ambapo katika izo mechi ni wapinzani wetu arsenal sio suala la kuchukulia poa hivyo.Mkuu hadondoshi mtu point hapa gari lishashaanza kushika moto hivyo na ndo mwendo wake huo.
Mkuu, kiungo bila solid DM kama rodri kwa mechi tatu mfululizo ambapo katika izo mechi ni wapinzani wetu arsenal sio suala la kuchukulia poa hivyo.Mkuu hadondoshi mtu point hapa gari lishashaanza kushika moto hivyo na ndo mwendo wake huo.
itabidi kalvin acheze hio nafasi ....Mkuu, kiungo bila solid DM kama rodri kwa mechi tatu mfululizo ambapo katika izo mechi ni wapinzani wetu arsenal sio suala la kuchukulia poa hivyo.
Hapo ni either acheze phillips au mmoja kati ya kova na bernado, kivyovyote vile huwezi pata output Kama ya rodri.
Tutakua legelege mno pale kati.
Tufahamu wazi kuwa kwa sasa team karibu zote zitatukamia vilivyo, hivyo tunapaswa kukaza manzo mwisho japo majeruhi yatatutesa kwa muda.Newcastle karudi Kwa kasii baada ya kupoteza game 3 mfululizo ...kapiga MTU Goli 8 huko ...
Pep.katega mtego huko subirini kitakachowatokea hawa ndugu hawataaminiHii game leo hatutoboi. Kikosi gani sasa hiki cha kumpangia newcastle [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2764372
Mkuu wao ndo watachezea nimewambia 2nd half hawa watu hawataamini kitakacho wapata yaani hii game tunai win pasiposhaka kabisa.Hii game tunachezea tu ,Hakuna maamuzi magumu ya kumaliza game mapema ...
Jamaa wameamua kupaki basi wanapiga counter tu.Kikosi kazi kipo nje 2nd half kinaingia kuamua game.