Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Vichapo tulivyowapa miaka Zaidi ya 4 nje ndani tunawagonga vinatosha vijana ,tulieni[emoji28]Lugha gani hii?
Me na wewe nani kampiga mwenzie mara nyingiSema Hawa Arsenal tumejipigia Sana ,kama Ni demu basii kashachakaa [emoji170]...
Tuwekee na last games za kabla ya hizo.Acha tu mashabiki WA Arsenal wafurahi ,hili tanuri la moto walilokuwa wanapitia sio mchezo View attachment 2775949
Piga hao man shity nacheka saaaaaanaLose or win ....this is Fantastic club ever ....don't compare with that motherf**CK gaygunners
Nimemfata nikamkumbusha atimize ahadi naona anajitoa akili....anaendelea kuchangia mada kama hamna kilichotokea....Mod wangetusaidia kumtwanga Ban hata ya mwezi mmoja angetutendea haki sana maana ahadi ni deni na yy hataki kulilipaKuna mpuuzi mmoja alisema atajitoa jf
Kwahiyo unajitoa JF au ilikua ni kunogesha stori tu?Team yako ndogo Sana ..View attachment 2776206
Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...Kwahiyo unajitoa JF au ilikua ni kunogesha stori tu?
Madogo mliozaliwa 2000 hamna akili kweli? Hapo ndio umejibu swali uloulizwa?Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...
Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..
Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..
Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..
Yaani acha hizi ngonjera.Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...
Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..
Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..
Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..
Wewe sio shabiki wa man city,Acha tu mashabiki WA Arsenal wafurahi ,hili tanuri la moto walilokuwa wanapitia sio mchezo View attachment 2775949