The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sisi tumewaonea huruma tu ,ndio maana Ake kajifunga ,team tunaligonga nje ndani game Zaidi ya 14 ,mpaka tulikuwa tunajiuliza hii Arsenal Ni football club au night club ?
 
Acha tu mashabiki WA Arsenal wafurahi ,hili tanuri la moto walilokuwa wanapitia sio mchezo
IMG-20231008-WA0008.jpg
 
First win since 2015. Winless in 12 matches. Ni haki washangilie kama wamechukua kombe😂. Huu ulikua ni udhalilishaji.
 
Sisi Ni team kubwa ,team la Dunia ,tunapoteza form tu ila class iko pale pale ....

Man City always man city [emoji170][emoji170]
 
Kuna mpuuzi mmoja alisema atajitoa jf
Nimemfata nikamkumbusha atimize ahadi naona anajitoa akili....anaendelea kuchangia mada kama hamna kilichotokea....Mod wangetusaidia kumtwanga Ban hata ya mwezi mmoja angetutendea haki sana maana ahadi ni deni na yy hataki kulilipa
 
Kwahiyo unajitoa JF au ilikua ni kunogesha stori tu?
Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...

Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..

Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..

Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..
 
Madogo mliozaliwa 2000 hamna akili kweli? Hapo ndio umejibu swali uloulizwa?
 
These bottle jobs are celebrating off a deflected strike as if they have won the title its hilarious. Calm down its still october with 30 games yet to be played.
 
Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...

Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..

Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..

Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..
Yaani acha hizi ngonjera.

Kwa kuzingatia ulichoahidi. Ni utakitekeleza au ulikua unanogesha stori.
 
Hii timu msiimu huu inafungika so ni kazi kwa Liver na wenzie kukomaa wamnyang'anye ubingwa
 
Kuna kitu ambacho kama kocha anaona ni sawa timu itafungwa sana na Jana timu imefungwa kwa makosa ya kocha baada ya sub zake aliacha wachezaji mzigo ndani akatoa wanao ifanya timu iwe imara
 
Back
Top Bottom