The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kalvin phillips ameenda West gam kwa mkopo.

Tuna DM mmoja sasa.
 
Wakuu hivi chapombe mr jack ana nini maana kapotea kwenye first 11?
 
Leo ndo najua huwezi kuwa offside kutoka pasi ya goal kick ila toney wa brentford angegusa tu hili goli la mompey ingekataliwa na kuwa offside. Kwa iyo 1-0. Ila city watarudisha kabla ya half time.
 
Rodri 7 goals.. 3 to goπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…watu wacheze wamechomekea
 
Starting line up

Ederson
Walker
Stones
Dias
Akanji
Rodrigo
Bernado
Bobb
Foden
Alvarez
Haaland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…