mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Man City 1π€£πππ€£ Kimeisha umana tiyari , City πͺTukifungwa na Hawa watoto WA Liverpool basi hatutakuja kuifunga Liverpool Tena [emoji23]
Haaland hayupo kabisa.Hawa man city ni wabovu sana kwa hii game dhidi ya Liverpool.
Ni kama wameshakubali lolote litokee
Hii game Haaland kamezwa , Alvarez alikuwa out of form kabisa ...Haaland hayupo kabisa.
Hata mm niliwaza hili pia, haland ndie alitakiwa atoke,Hii game Haaland kamezwa , Alvarez alikuwa out of form kabisa ...
Kdb alitakiwa kubaki ,Haaland atoke ...maana game ya Leo ilikuwa imemkataaa
Hahaaaa academy yetu Hatuna average player ,mkitaka wengine wapo ...Ki ukweli tuna kila sababu ya kuwaongeza peda kwa Cole parmel
olewenu msiwafunge Arsenal maana kwa hili pila mnalocheza na New castle mnatia mashaka sanaJack is back..View attachment 2935861
Bernado Silva anakuwa mess akisikia draw ya UEFA na real Madrid...olewenu msiwafunge Arsenal maana kwa hili pila mnalocheza na New castle mnatia mashaka sana
Sina kumbukumbu nzuri Ni Lin Arsenal alitufunga Etihad ...olewenu msiwafunge Arsenal maana kwa hili pila mnalocheza na New castle mnatia mashaka sana