The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man City na Man United waungajishwe iwe timu moja angalau muwabebe dada zenu aisee
 
Jana ten hag Kakabwa koo mpaka anasema city alishinda game ya Brentford Kwa Bahati [emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Game bado 50/50 ,,Hakuna mashambulizi ya hatari kwenda mbele kabisa ...
 
Nyinyi mashabiki wa Barcelona, kubalini zama zimebadilika. Hii sio Arsenal ya kina MUSTAFI.Huwezi kuwa unacheza na Arsenal ya sasa hivi afu poa comfortable kabisa kubwabwaja kwamba tunafunga hawa.
 
Achana kabisa na Mechi za Real madrid kapike vitumba na timu lako Bovu hilo kwanza nyuzi zima una ji comment mwenyewe na unajibu mwenyewe rudi tu kweny timu yako ya zamani ya Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…