The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hapo liverpool ana Man united, Spurs, Everton, akitoa sare hata moja kazi bado mnayo

Arsenal ana Spurs, Chelsea Man United, anaweza kutoa sare hata mbili hapo

City bado chance anayo ila ni finyu hasa kumkamata Liverpool
Mim mwenyewe kunahisia zinanambia Liverpool anaweza kushikwa Kwa man utd ,au Spurs ...

Arsenal ana game ngumu na man utd Tena game ya mwisho ,huenda man utd atakuwa anapigania top 4 ,watampa tough game ...
 
Jana City imepata ushindi wa 4-1 dhidi ya Aston Villa. Bado matumaini ya kutwaa ndoo ya EPL yapo.
 
Hapo liverpool ana Man united, Spurs, Everton, akitoa sare hata moja kazi bado mnayo

Arsenal ana Spurs, Chelsea Man United, anaweza kutoa sare hata mbili hapo

City bado chance anayo ila ni finyu hasa kumkamata Liverpool
Eet arsenal akitoa draw mbili, lamli hizi kil siku mnaumbuka
 
Jana City imepata ushindi wa 4-1 dhidi ya Aston Villa. Bado matumaini ya kutwaa ndoo ya EPL yapo.
Ni wajinga tu ndio wanaamin hatuwezi kuchukua EPL ..

Arsenal kwenye hizi game hatoki naamini ...

Vs Chelsea
Vs man utd
Vs Spurs

Liverpool naamani hizi game mbili ataachia point ...

Vs man utd
Vs Spurs

Sisi game ngumu ambayo naiona Ni

Vs Spurs tu

Let's go
 
Eet arsenal akitoa draw mbili, lamli hizi kil siku mnaumbuka
Fixture yenu Ni ngumu Mzee kubali tu ...

Unaenda kucheza game na man utd ,game ya Pili kutoka mwisho ,man utd anapambania top four Kwa udi na uvumba ,hakuachi [emoji23]
 
.this boy turning to prime mess in hard time ...
1700777274.jpg
 
Ni wajinga tu ndio wanaamin hatuwezi kuchukua EPL ..

Arsenal kwenye hizi game hatoki naamini ...

Vs Chelsea
Vs man utd
Vs Spurs

Liverpool naamani hizi game mbili ataachia point ...

Vs man utd
Vs Spurs

Sisi game ngumu ambayo naiona Ni

Vs Spurs tu

Let's go
Kula halafu andika upya...hao wte 3 hamna wa kutufunga...na Kila tutakayecheza naye ntakuwa nakuuliza matokeo yake mechi ikiisha...mlipoteza nafasi ya kutokushinda tulipokutana...mtaona vumbi tu...
 
Mzee unafixture ngumu Sana hapa Katikati,huna kikosi matured cha kuhandle ...uko na baby cry zincheko ...[emoji23]
 
Hikihiki kikosi ndo kilichofanya wachezaji wako walielie...na ndo kipo juu yako...kaa kwa kutulia...Kila mtu ashinde mechi zake
 
Safi kabisa ..

Man U apigwe ili jumapili akafie uwanjani na Liverpool,....hasira ziwe nyingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Napenda utulivu WA Ortega hii back pass angekuwa MTU WA kupanic tungefugwa[emoji23]
 
Back
Top Bottom