Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori za kijiweni hizi (japo sijathibitisha). Sidhani kama tunaweza kuandika hizo barua ila hilo la mavazi na kufunga uwanja ili kutengeneza "bonge la vibe" ni jambo zuri.Toka Madrid wasikie wanacheza na Sisi ..
Wametuma barua mbili kule UEFA kutaka ratiba ibadilike game ya 2 leg ichezwe Kwao,waanze wao kuja kucheza Etihad ....hii haijawahi kutokea[emoji1787]
Wamekuwa wakihamasisha mashabiki wao wote waje uwanjani wamevaa jezi ya real Madrid nyeupe na sio nyingine ,wote [emoji1787]....hii haijawahi kutokea ...
Waliomba ruhusa la liga wakae siku 10 Bila kucheza mpira wakijiandaa na game ya city ....hii haijawahi kutokea ..
Wameandika barua UEFA kuhakikisha uwanja wao unafungwa Kwa juu ,ili kelele zisikike vzuri [emoji1787]......
Haya yote hayajawahi kutokea ..kiufupi Madrid wapo na pressure kubwa mnoo ....
Mkuu acha tu ,wamepania hatari ....Hii game Madrid wameipania sana.
saa nne kamiliGame saa ngapi
Asnte mkuusaa nne kamili