Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mim mwenyewe kunahisia zinanambia Liverpool anaweza kushikwa Kwa man utd ,au Spurs ...Hapo liverpool ana Man united, Spurs, Everton, akitoa sare hata moja kazi bado mnayo
Arsenal ana Spurs, Chelsea Man United, anaweza kutoa sare hata mbili hapo
City bado chance anayo ila ni finyu hasa kumkamata Liverpool
Eet arsenal akitoa draw mbili, lamli hizi kil siku mnaumbukaHapo liverpool ana Man united, Spurs, Everton, akitoa sare hata moja kazi bado mnayo
Arsenal ana Spurs, Chelsea Man United, anaweza kutoa sare hata mbili hapo
City bado chance anayo ila ni finyu hasa kumkamata Liverpool
Ni wajinga tu ndio wanaamin hatuwezi kuchukua EPL ..Jana City imepata ushindi wa 4-1 dhidi ya Aston Villa. Bado matumaini ya kutwaa ndoo ya EPL yapo.
Fixture yenu Ni ngumu Mzee kubali tu ...Eet arsenal akitoa draw mbili, lamli hizi kil siku mnaumbuka
Kula halafu andika upya...hao wte 3 hamna wa kutufunga...na Kila tutakayecheza naye ntakuwa nakuuliza matokeo yake mechi ikiisha...mlipoteza nafasi ya kutokushinda tulipokutana...mtaona vumbi tu...Ni wajinga tu ndio wanaamin hatuwezi kuchukua EPL ..
Arsenal kwenye hizi game hatoki naamini ...
Vs Chelsea
Vs man utd
Vs Spurs
Liverpool naamani hizi game mbili ataachia point ...
Vs man utd
Vs Spurs
Sisi game ngumu ambayo naiona Ni
Vs Spurs tu
Let's go
Mzee unafixture ngumu Sana hapa Katikati,huna kikosi matured cha kuhandle ...uko na baby cry zincheko ...[emoji23]Kula halafu andika upya...hao wte 3 hamna wa kutufunga...na Kila tutakayecheza naye ntakuwa nakuuliza matokeo yake mechi ikiisha...mlipoteza nafasi ya kutokushinda tulipokutana...mtaona vumbi tu...
Hikihiki kikosi ndo kilichofanya wachezaji wako walielie...na ndo kipo juu yako...kaa kwa kutulia...Kila mtu ashinde mechi zakeMzee unafixture ngumu Sana hapa Katikati,huna kikosi matured cha kuhandle ...uko na baby cry zincheko ...[emoji23]
Endelea Kuotaa[emoji16][emoji23]Crystal Palace waitumie hii mechi ya leo kufufua msimu wao.
Sisi tunapunguza goal difference tu ,huko mbele kitaumana ....[emoji23]Duuu. Mnataka kuwafanya nini hawa Palace?