Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
😄 kwamba mnaona magoli 10 tuliyokuwa tumewaacha ni mengi sana?Sisi tunapunguza goal difference tu ,huko mbele kitaumana ....[emoji23]
Numbers ..View attachment 2955414
Kichaa we mvuta ugoroNishasema fixture yetu mgumu Ni Spurs tu .....Hao wengine Ni kutembeza fimbo kama kawaida ....
Aisee Arsenal msimu huu hataki kukubali kabisa ....anazidi kubanana pale juuKichaa we mvuta ugoro
Kukubali ndo nn🤠🤠...zipigwe mpk mwshoAisee Arsenal msimu huu hataki kukubali kabisa ....anazidi kubanana pale juu
leo nimerudi kukupa hongera ya kuwa bigwa wa ligi kuu England ila champions leauge lazima tukutoeMadrid kudadeki hawajacheza muda mrefu aisee ,wanajiandaa tu kuhusu city toka tarehe 31/03....[emoji23][emoji23]
HahaaaaaMadrid tunamla matakoni